Kiebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Israel in Hebrew.svg|thumb|"Yisra'eljisrael" ni neno "Israel" kwa lugha ya Kiebrania na kwa mwandiko wa Kiebrania]]
 
'''Lugha ya Kiebrania''' ni moja ya [[lugha za kisemiti]] na moja kati ya [[lugha]] mbili za kitaifa nchini [[Israel]] (pamoja na [[Kiarabu]]). Ni kati ya lugha za kale zaidi duniani.
Mstari 13:
Mwandiko wa lugha hiyo hufanywa kwa mwandiko wa pekee unaojulikana tangu miaka 3,000. Mwandiko huu ni wa konsonanti hasa, kwa kuwa mara nyingi vokali haziandikwi. Tabia hii ni sawa na alfabeti nyingine za [[Kisemiti]] kama [[Kiaramu]] au [[Kiarabu]].
 
Mfano: Jina la Abrahamu huandikwa "'''אַבְרָהָםאַבְרָהָ֛ם'''" ambazo ni herufi "aBRHM" pekee; Alef ambayo ni herufi la kwanza tena si "a" kwa hakika. Vokali zinaweza kuonyeshwa kwa nukta na mistari chini ya herufi lakini mara nyingi haziandikwi.
 
{| border="2" cellpadding="4" cellspacing="0" style="margin: 1em 1em 1em 0; background: #f9f9f9; border: 1px #aaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;" style="text-align:center;" class="wikitable"
|-
|'''[[Aleph (Hebrew)|Alef]]'''||'''[[Beth (letter)|Bet/Vet]]'''||'''[[Gimel (letter)|Gimel]]'''||'''[[Daleth|Dalet]]'''||'''[[He (letter)|He]]'''||'''[[Waw (letter)|Waw]]'''||'''[[Zayin]]'''||'''[[Khet (letter)|HhetKhet]]'''||'''[[Teth|Tet]]'''||'''[[Yodh|Yod]]'''||'''[[Kaph|Kaf/Khaf]]'''
|-
|style="font-family:SBL Hebrew, Ezra SIL SR, Ezra SIL, Cardo, Chrysanthi Unicode, TITUS Cyberbit Basic, Arial Unicode MS, Narkisim, Times New Roman;font-size:300%" height=40 valign=top|א