Tofauti kati ya marekesbisho "Kiebrania"

71 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
+ matamshi
No edit summary
(+ matamshi)
[[Picha:Israel in Hebrew.svg|thumb|"jisrael" ni neno "Israel" kwa lugha ya Kiebrania na kwa mwandiko wa Kiebrania]]
 
'''Lugha ya Kiebrania''' (עברית ''‘Ivrit'', {{Audio|He-Ivrit-2.ogg|matamshi ya kisasa}}) ni moja ya [[lugha za kisemiti]] na moja kati ya [[lugha]] mbili za kitaifa nchini [[Israel]] (pamoja na [[Kiarabu]]). Ni kati ya lugha za kale zaidi duniani.
 
Kiebrania kwa kawaida huandikwa kwa [[herufi za Kiebrania]]. Mwandiko huu ni wa [[konsonanti]] hasa, kwa kuwa mara nyingi [[vokali]] haziandikwi kutokana mfumo wa lugha yenyewe.