Edward Purcell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 42 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q183270 (translate me)
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Edward PurcellEdward_Mills_Purcell.jpg|thumb|220px|{{PAGENAME}}]]
'''Edward Mills Purcell''' ([[30 Agosti]] [[1912]] – [[7 Machi]] [[1997]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza [[usumaku]] wa [[atomu]]. Mwaka wa [[1952]], pamoja na [[Felix Bloch]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.