George Minot : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q245000 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:George Minot nobel.jpg|thumb|George Minot]]
 
'''George Richards Minot''' ([[2 Desemba]] [[1885]] – [[25 Februari]] [[1950]]) alikuwa mwanafizioljia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza na kutibu upungufu wa damu. Mwaka wa [[1934]], pamoja na [[George Whipple]] na [[William Murphy]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.