Tofauti kati ya marekesbisho "Wilaya ya Kibaha Vijijini"

308 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Tanzania Kibaha location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Kibaha (kijani) katika [[mkoa wa Pwani]].]]
'''Wilaya ya Kibaha''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Pwani]]. Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 132,045 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm].
 
Kati ya vijiji vingi vya wilaya kuna [[Mailimoja]], [[Mwanalugali]], [[Boko Bungo]], [[Kwa Mathiasi]], [[Msangani]], [[Nyumbu]], [[Picha ya Ndege]], [[Kwambonde]], [[Kibondeni]], [[Tanita]], [[Mwendapole]], [[Kwa Mfipa]], [[Miembe 7]], [[Kongowe]], [[Visiga]], [[Misugusugu]], [[Mlandizi]] na [[Ruvu]].
 
==Marejeo==