Kidudu-dubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: de:Bärtierchen is a featured article; cosmetic changes
Nyongeza kigezo:jaribio
Mstari 17:
* Ngeli [[Mesotardigrada]] (Hadhi ya uainishaji si dhahiri)
}}
'''Vidudu-dubu''' (kutoka [[Kiholanzi]] [[:nl:Beerdiertjes|beerdiertjes]]) ni [[kiumbehai|viumbehai]] vinavyofanana na [[dubu]] wadogo sana wenye jozi nne za miguu; wengi zaidi wana mm 0.3-0.5 wakiwa wazima, lakini kuna [[spishi]] kadhaa za hadi mm 1.2 na nyingine za mm 0.1 tu. Wanatokea katika maji au mahali pa majimaji. [[Mnyama|Wanyama]] hawa wanaweza kuendelea kuishi katika hali za kuzidi kiasi: kutoka [[halijoto]] ya karibu na [[sifuri halisi]] hadi juu ya [[kiwango cha kuchemka]], ukavu kabisa, [[kanieneo]] kubwa sana, [[ombwe]] kabisa na [[mnururisho]] kali [[uionishaji|unaoionisha]]. Wakikaa katika hali ya ukavu kabisa, hupoteza takriban maji yote mpaka kubaki na 3% tu na hata baada miaka kumi katika hali hii wanaweza kuamka na kuendelea kuishi.
 
== Picha ==
Mstari 25:
Picha:Mikrofoto.de-baertierchen.OGG|Kidudu-dubu akienda
</gallery>
 
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = beerdiertje | lugha = Kiholanzi | maneno_ya_jaribio = kidudu-dubu }}
 
[[Jamii:Vidudu-dubu]]