Kaini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q205365 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Cain and Abel, 15th century.jpg|thumb|right|200px|''Kaini na Abeli'', [[mchoro]] wa [[karne ya 15]] kutoka [[kitabu]] cha [[Ujerumani]] ''Speculum Humanae Salvationis''.]]
Kadiri ya kitabu cha [[Mwanzo (Biblia)]] katika [[Agano la Kale]] wana wawili wa kwanza wa [[Adamu]] na [[Hawa]], majina yao [[Kaini]] na [[Habili]], walitunza [[imani]] yao kwa [[Mungu]] wakamtolea [[sadaka]]. Habili aliitoa katika wanyama bora wa kundi lake, akiwa na hali ya [[unyenyekevu]] na imani, naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya [[kiburi]], bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (4:1-5; taz. Ebr 11:4; 1 Yoh 3:12).
'''Kaini''' kadiri ya [[Biblia]] ni jina la [[binadamu]] wa kwanza kuzaliwa na kuua.
 
==Katika kitabu cha Mwanzo==
Kadiri ya kitabu cha [[Mwanzo (Biblia)]] katika [[Agano la Kale]] wana wawili wa kwanza wa [[Adamu]] na [[Hawa]], majina yao [[Kaini]] na [[Habili]], walitunza [[imani]] yao kwa [[Mungu]] wakamtolea [[sadaka]]. Habili aliitoa katika wanyama bora wa kundi lake, akiwa na hali ya [[unyenyekevu]] na imani, naye Mungu akampokea. Tabia ya Kaini ilikuwa ya [[kiburi]], bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (4:1-5; taz. Ebr 11:4; 1 Yoh 3:12).
 
Habili aliitoa katika wanyama bora wa kundi lake, akiwa na hali ya [[unyenyekevu]] na imani, naye Mungu akampokea.
 
Tabia ya Kaini ilikuwa ya [[kiburi]], bila ya kumcha Mungu, kwa hiyo Mungu alimkataa (4:1-5; taz. Ebr 11:4; 1 Yoh 3:12).
 
Tabia na maisha ya watoaji wa sadaka ina maana kuliko vitu wanavyovitoa, kwa hiyo Mungu alimwambia Kaini kuwa, akitaka Mungu ampokee, angepaswa kushinda dhambi iliyokuwa ikitaka kumwangamiza. Dhambi hiyo ilikuwa kama mnyama wa mwitu ajikunjaye na kuotea mlangoni, ili aweze kumshambulia mtu akitoka nje (4:6-7).
Line 7 ⟶ 15:
Ingawa Kaini alidumu katika hali ya kutotubu, Mungu katika huruma yake kubwa alimlinda asiuawe kwa kisasi (4:8-16).
 
===Maendeleo ya dhambi baada yake===
Baadaye [[historia ya wokovu]] inaonyesha kulikuwa na maendeleo ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe, pia kulikuwa na maendeleo ya ufundi na [[utamaduni]], lakini kwa upande wa [[maadili]] watu walizidi kuwa waovu.