Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

d
Bot: ar:لعبة كرة القدم is a featured article; cosmetic changes
Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: ar:لعبة كرة القدم is a featured article; cosmetic changes
Mstari 4:
Matumizi ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya ya kutoka nje ya uwanja.
 
== Historia ==
[[Picha:Ancient Greek Football Player.jpg|thumbnail|Mchezaji wa mpira wa miguu, [[Ugiriki wa Kale]]]]
Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa [[jiografia]] na historia. Wachina, Wajapani, Wakorea na Waitalia wote walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu. Wagriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita. Hata hivyo, ni nchini [[Uingereza]] ambapo umbo la sokala kisasa lilianza kuipuka.
Mstari 18:
Kutokana na ushawishi mkuu wa Uingereza katika mataifa ya Dunia, Soka ilizambaa kote duniani.Mataifa mengi mengine yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda kufikia 1904 wakati [[Shirikisho la Soka Duniani]] ([[FIFA]]) lilipoanzishwa. Tangia hapo, kandanda ya kimataifa imekuwa ikikua licha ya vikwazo mbalimbali. Kufikia 1912, [[FIFA]] ilikuwa na uanachama wa mashirikisho 21, idadi iliyoongezeka na kufika 36 kufikia 1925. Kufikia 1930- mwaka ambapo kwa mara ya kwanza kulikuwa na mashindano ya [[Kombe La Dunia]], [[FIFA]] ilikuwa na wanachama 41. Idadi hii ilizidi kuongezeka na kufika 51 mnamo 1938 na 76 kufikia 1950. Baada ya Kongamano la [[FIFA]] la mwaka 2000, kulikuwa na wanachama 204 na idadi hii inazidi kukua kila mwaka.
 
== Kanuni ==
Maagizo ya Kandanda hupitiwa na kufanyiwa mabadiliko kila mwaka (Mwezi wa Julai) na [[Shirikisho la Kandanda Duniani]] ([[FIFA]]).<ref>Kanuni za Soka, www.fifa.com [http://www.fifa.com/mm/document/affederation/federation/81/42/36/lawsofthegameen.pdf]</ref>
 
== Uwanja ==
[[Picha:Uwanja wa mpira maelezo.png|300px|thumbnail|right|Vipimo vya uwanja wa soka]]
Uwanja una umbo la [[mstatili]]. Hakuna kipimo kamili kanuni zinasema urefu ni baina [[mita]] 90 na 120, upana baina mita 45 na 90. Kwa michezo ya kimataifa urefu uwe baina mita 100 - 110 na upana baina mita 64 na 75.
Mstari 29:
Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya wanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira umepita mstari wa goli kabisa.
 
== Mpangilio wa wachezaji ==
 
<ref>Soccer Formations, www.soccerhelp.com [http://www.soccerhelp.com/Soccer_Formation_Basics.shtml]</ref>
Mstari 37:
Ni uamuzi wa [[kocha]] kuhusu idadi ya wachezaji wanaocheza kuwa walinda lango, wa kiungo au wa mbele, ikitegemea mfumo uliotumika. Mfumo wa 4-4-2<ref>Mfumo wa 4-4-2, www.soccer-training-guide.com [http://www.soccer-training-guide.com/soccer-formations.html]</ref> umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele.
 
== Utunukizi wa Alama ==
 
Katika ligi za kitaifa na kimataifa, alama hutunukiwa kwa timu baada ya mchezo. Timu iliyoshinda hupewa alama tatu huku timu zilizotoka sare hupewa alama moja kila moja.
Mstari 43:
Ikiwa ni lazima mshindi apatikane, hasa kwenye meji za finali, mchezo huwa na muda wa ziada kama timu hizo ziko [[sare]]. Iwapo sare hiyo huendelea mchezo huamuliwa kwa mikwaju ya [[penalty]].
 
== Shirikisho la Kandanda Duniani ==
<ref>Kuhusu FIFA, www.fifa.com [http://www.fifa.com/aboutfifa/index.html]</ref>
[[Shirikisho la Soka Duniana]] ([[FIFA]]) ndili shirikisho kuu linalosimamia Kandanda duniani. Wanachama wake ni mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali. Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano mbalimbali ya soka kama vile [[Kombe la Dunia]] na pia huwatunuku wachezaji.
 
== Orodha ya Wachezaji Maarufu Duniani ==
 
<ref>Orodha ya Wachezaji Maarufu wa Soka, www.soccer-fans-info.com [http://www.soccer-fans-info.com/famous-soccer-players.html]</ref>
Orodha ifuatayo inaonyesha baadhi ya wanasoka maarufu Duniani, lakini haiashirii usanjari huu kulingana na ubora. Wapo wengine wengi ambao hawajatajwa hapa.
 
* [[David Beckham]] wa [[Uingereza]]
* [[Franz Beckenbauer]] wa [[Ujerumani]]
* [[Gabriel Batistuta]] wa [[Arjentina]]
* [[Michael Ballack]] wa [[Ujerumani]]
* [[Pablo Aimar]]
* [[Carlos Tevez]]
* [[Lionel Messi]]
* [[Adriano]]
* [[Dennis Bergkamp]]
* [[Jared Borgetti]] wa [[Mexico]]
* [[Fabio Cannavaro]]
* [[Roberto Carlos]]
* [[Ronaldinho]]
* [[Deco]]
* [[Hernan Crespo]]
* [[Didier Drogba]]
* [[Michael Essien]] wa [[Ghana]]
* [[Samuel Eto]] wa [[Cameroon]]
* [[Luis Figo]]
* [[Steven Gerald]]
* [[Thierry Henry]] wa [[Ufaransa]]
* [[Oliver Kahn]], Kipa wa [[Ujerumani]]
* [[Ricardo Kaka]]
* [[Roy Keane]]
* [[Jurgen Klinsmann]]
* [[Miroslav Klose]]
* [[Frank Lampard]]
* [[Diego Maradona]]
* [[Michael Owen]]
* [[Alessandro Nesta]]
* [[Pele]]
* [[Robert Pires]]
* [[Rivaldo]]
* [[Robinho]]
* [[Romario]]
* [[Ronaldo]] wa [[Brazil]]
* [[Cristiano Ronaldo]]
* [[Wayne Rooney]]
* [[Ruud Van Nistelrooy]]
* [[Patrick Viera]]
* [[Zinedine Zidane]]
 
== Tazama Pia ==
 
* [[Mpira wa Miguu]]
* [[Shirikisho la Soka Duniani]]
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.expertfootball.com/history/soccer_history_mediterran.php Historia ya Soka (Mediterran)]
* [http://www.expertfootball.com/history/soccer_derby.php Historia ya Soka (Derby)]
* [http://www.expertfootball.com/history/soccer_gaming.php Historia ya Mchezo wa Soka]
* [http://www.expertfootball.com/history/ajax_1970.php Historia ya Soka (Ajax, 1970)]
* [http://www.expertfootball.com/history/bul_1994.php Historia ya Soka(1994)]
* [http://www.expertfootball.com/history/soccer_history_far_east.php Historia ya Soka katika nchi za Mashariki ya Mbali]
* [http://www.youtube.com/watch?v=wIpyzKKMsgQ Soccer Tactics and Formations (Video)]
 
== Virejeleo ==
{{reflist}}
 
[[Jamii:Mpira wa Miguu|!]]
 
{{Link FA|ar}}
44,328

edits