[[Picha:ColumbiaU11.16.08ByLuigiNovi.jpg|thumb|right|280px|Chuo Kikuu cha Columbia]]
'''Chuo Kikuu Cha Columbia''' ni chuo chenye masomo ya shahada katika mji wa [[New York]]. Kilibuniwa mwaka 1754 na [[Anglikana|Kanisa la Uingereza]] kikiitwa King's College (Chuo Cha Mfalme), baada ya kupata idhini ya kutoa mafunzo kutoka kwake mfalme George II wa [[Uingereza]].Coll
Miongoni mwa waliofuzu kutoka katika chuo hiki ni rais wa [[Marekani]], [[Barack Obama]], rais wa [[Estonia]] [[Toomas Hendrik Ilves]], na wasanii waimbaji [[Alicia Keys]] na [[Lauryn Hill]].