Hosea : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
repair link |
|||
Mstari 11:
Aliitwa kuoa [[kahaba]] ili awaonyeshe Waisraeli katika matatizo ya [[ndoa]] yake jinsi [[Mungu]] alivyopenda [[taifa]] hilo ingawa linapenda kufuata miungu mingine badala ya kuwa aminifu kwake tu. Kwa mfano hai wa Hosea, Mungu alitaka waelewe kwamba kwa kuwapenda na pengine kuwaadhibu analenga tu hatimaye wampende kwa [[moyo]] wote.
Sura 1-3
Hata Mungu, baada ya kuacha Israeli ishindwe na [[Waashuru]], ataendelea na upendo wake kwa wenzao wa kusini, akiwabakiza kama [[mbegu]] (ndio “mabaki ya Israeli” yaliyozungumziwa kwanza na Amosi): mpango wa [[Bwana]] unapitia [[hatua]] mbalimbali lakini haukatiki kamwe.
|