Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Redentor.jpg|thumb|right|350px| ''[[Sanamu ya Kristo mkombozi]]'' huko [[Rio de Janeiro]] ([[Brazil]]) ni [[sanamu]] ya [[Yesu]] kubwa kuliko zote zilizopata kutengenezwa.]]
{{Ukristo}}
'''Ukristo''' (kutoka neno la [[ Kigiriki]] Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" <ref>Neno "Mkristo" (Χριστιανός) lilitumika mara ya kwanza kuhusiana na wafuasi wa Yesu katika [[mji]] wa Antiokia [Mdo 11:26] mwaka [[44]] [[BK]]. Wenyewe walikuwa wanajiita "ndugu", "waamini", "wateule", "watakatifu". Katika mazingira ya [[Kisemiti]] waliendelea na bado wanaendelea kuitwa "Manasara", yaani "Wanazareti" kutokana na jina la [[kijiji]] alikokulia Yesu. Kumbukumbu ya kwanza ya mwandishi ya neno "Ukristo" (Χριστιανισμός) ni katika barua za [[Ignas wa Antiokia]], mwaka [[100]] hivi. See Elwell/Comfort. Tyndale Bible Dictionary, pp. 266, 828.</ref> ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee<ref>Taz. Catholic Encyclopedia (article "Monotheism"); William F. Albright, From the Stone Age to Christianity; H. Richard Niebuhr; About.com, Monotheistic Religion resources; Kirsch, God Against the Gods; Woodhead, An Introduction to Christianity; The Columbia Electronic Encyclopedia Monotheism; The New Dictionary of Cultural Literacy, monotheism; New Dictionary of Theology, Paul, pp. 496–99; Meconi. "Pagan Monotheism in Late Antiquity". p. 111f.</ref> kama alivyofunuliwa na [[Yesu Kristo]], [[mwanzilishi]] wake, katika [[karne ya 1]].
'''Ukristo''' ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee kama alivyofunuliwa na [[Yesu Kristo]], mwanzilishi wake, katika [[karne ya 1]].
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni [[Ukristo nchi kwa nchi|kuu]] kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni mbili.<ref>Taz. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441. Zoll, Rachel (December 19, 2011). "Study: Christian population shifts from Europe". Associated Press. Retrieved 25 February 2012.
33.2% of 6.7 billion world population (under the section 'People') "World". CIA world facts. "The List: The World's Fastest-Growing Religions". foreignpolicy.com. March 2007. Retrieved 2010-01-04.
"Major Religions Ranked by Size". Adherents.com. Retrieved 2009-05-05.</ref>
 
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].
 
Kati ya [[madhehebu]] mengi sana ya Ukristo, karibu yote yanamkiri kuwa kwa pamoja Mungu kweli na mtu kweli: katika [[umoja]] na [[nafsi]] yake ya Kimungu zinapatikana sasa hali zote mbili.
 
Yote yanamkiri kuwa [[Mwokozi]] wa watu wote, na kuwa ndiye atakayerudi mwishoni mwa [[dunia]] kwa [[hukumu]] ya wote, ingawa maelezo kuhusu jambo hilo yanatofautiana.
 
Tena yote yanamchukua kama [[kielelezo]] cha [[utakatifu]] ambacho kiwaongoze katika [[maadili]] yao maalumu, kuanzia [[unyenyekevu]] na [[upole]] hadi [[upendo]] unaowaenea wote, bila kumbagua yeyote, hata [[adui]].
 
== Asili ==
Chimbuko la Ukristo ni kuwepo kwa mtu aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huko [[Mashariki ya Kati]], katika [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]] kilichopo hadi hivi leo kwenye mipaka ya [[Palestina]], naye alikuwa akiitwa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] au mwana wa [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] mchonga samani; [[mama]] yake akifahamika kwa jina la [[Bikira Maria]].
 
Kwa kumuita [[Kristo]], wafuasi wake walikiri kwamba ndiye aliyetimiza [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa kale, kama unavyopatikana katika vitabu vya [[Biblia ya Kiebrania]] na [[Deuterokanoni]].
 
=== Masiya Yesu ===
Ukristo ni matokeo ya [[utume]] wa Yesu, uliopokewa na waliomwamini kuwa ndiye [[Masiya]], yaani Mpakwamafuta ([[Kristo]] kwa [[Kigiriki]]), [[mkombozi]] aliyetimiliza ahadi za Mungu kwa uzao wa [[Abrahamu]].
 
[[Utabiri]] wa kuja kwake ulianzia katika [[bustani]] yala [[Edeni]] pale Mungu alipomwambia [[mwanamke]] "uzao wako utamponda kichwa" [[nyoka]], yaani [[shetani]] ([[Mwa]] 3:15).
 
[[Musa]], mwanamapinduzi[[mwanaharakati]] aliyewakomboa watu wa Israeli kutoka utumwani[[utumwa]]ni [[Misri]] takribani miaka 1250 [[KK|kabla ya kuzaliwa kwa Yesu]], ndiye [[nabii]] wa kwanza kutabiri wazi ujio wa Masiya au Kristo ([[Kumb]] 18:15-22, hususan mstari 18: "Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zenu; na nitatia neno langu kinywani mwake na atasema nao yote niliyomwamuru."
 
Kuja kwake kulitimia katika Agano Jipya, ambalo ni ukamilifu wa yote yaliyotabiriwa katika [[Agano la Kale]]. Kwani Musa alitumwa kuanzisha Agano la Kale kama maandalizi ya Agano Jipya, akikabidhi mifumo mingi ya nje na ndani kwa watawala na [[waamuzi]] waliomfuatia watakaoshikilia Agano la kusubiri Masiya wakishirikiana na ma[[nabii]] na ma[[kuhani]].
 
Yesu alizaliwa miaka kama 1800 baada ya Abrahamu. Vitabu vya [[Injili]] vinaeleza matukio na mafundisho ya Yesu ambayo ndiyo mwongozo wa [[imani]] hiyo. Maisha na kazi ya Yesu yameibua mambo mengi katika [[historia]]. Ndiyo sababu [[kalenda]] iliyoenea duniani huhesabu miaka kutoka ujio wake; huu ni mchango mmojawapo wa Ukristo katika [[ustaarabu]].
 
=== Mafundisho ya msingi ya Yesu ===
 
[[Picha:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|300px|'''Hotuba ya Mlimani''' nakadiri ya [[Carl Heinrich Bloch]]. [[Hotuba ya Mlimani]] inachukulikainachukuliwa na Wakristo kuwa utimilifu wa [[Torati]] iliyotolewa na [[Musa]] katika [[Mlima Sinai]].]]
 
Yesu alifanya ishara za kustaajabisha, au [[miujiza]]. Matokeo ni kwamba, watu wengi wakamwamini.
 
Yesu alifanya ishara za kustaajabisha, au [[miujiza]]. Matokeo ni kwamba, watu wengi wakamwamini. [[Nikodemu]], mshiriki mmojawapo wa [[baraza]] la [[Sanhedrini]], ambayo ilikuwa pia [[mahakama kuu]] ya KiyahudiWayahudi, alivutiwa na kutaka kujua zaidi kuhusu [[siri]] ya miujiza hiyo na [[ujumbe]] kutoka kwa Mungu; kwani yeye alihamasika kuona ishara zile kutoka kwa Mungu.
 
Yesu alifanya ishara za kustaajabisha, au [[miujiza]]. Matokeo ni kwamba, watu wengi wakamwamini. [[Nikodemu]], mshiriki mmojawapo wa baraza la [[Sanhedrini]], ambayo ilikuwa pia [[mahakama kuu]] ya Kiyahudi, alivutiwa na kutaka kujua zaidi kuhusu siri ya miujiza hiyo na ujumbe kutoka kwa Mungu; kwani yeye alihamasika kuona ishara zile kutoka kwa Mungu.
Yesu akamjibu kwamba hakika mtu hawezi kuingia [[ufalme wa Mungu]] asipozaliwa mara ya pili kwa [[maji]] na [[Roho Mtakatifu]].
Pia akajieleza kuwa [[mpatanishi]] wa [[ulimwengu]] wa [[dhambi]] na Mungu na kwamba kila anayemgeukia kwa imani hatapotea, bali atarithi [[uzima wa milele]]: Kristo ni mfano wa [[nyoka wa shaba]] aliyetengenezwa na Musa. ([[Yoh]] 2:23-3:21; [[Hes]] 21:9).
 
Pia akajieleza kuwa [[mpatanishi]] wa [[ulimwengu]] wa [[dhambi]] na Mungu na kwamba kila anayemgeukia kwa [[imani]] hatapotea, bali atarithi [[uzima wa milele]]: Kristoalisema mwenyewe ni mfano wa [[nyoka wa shaba]] aliyetengenezwa na Musa. ([[Yoh]] 2:23-3:21; [[Hes]] 21:9).
Akiwa akitembea kando ya [[Ziwa la Galilaya]], Yesu alikuta [[umati]] wa watu umekusanyika. Basi akapanda [[mashua]] na kuenda mbali kidogo na ufuoni, akaanza kuwafundisha kuhusu [[Ufalme wa mbinguni]] kupitia mfululizo wa mifano.
 
Akiwa akitembea kando ya [[Ziwa la Galilaya]], Yesu alikuta [[umati]] wa watu umekusanyika. Basi akapanda [[mashua]] na kuenda mbali kidogo na ufuoni, akaanza kuwafundisha kuhusu [[Ufalme wa mbinguni]] kupitia mfululizo wa mifano.
 
Mmojawapo ni huu ufuatao: "Ufalme wa mbinguni ni kama punje ya [[haradali]] ambayo mtu anaipanda. Ingawa ni [[mbegu]] ndogo sana inakua na kuwa [[mti]] wa [[mboga]] mkubwa kuliko yote. Inakua mti ambao [[ndege]] wanauendea, wakipata makao katika matawi yake". ([[Math]] 13:1-52; [[Mk]] 4:1-34; [[Lk]] 8:4-18; [[Zab]] 78:2; [[Isa]] 6:9,10).
 
Line 63 ⟶ 78:
 
 
''' ''Ustawi wa Jumuiajumuia ya kwanza ya wafuasi wa Kristo'' '''
 
Watu walipokuwa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika [[ushirika]] na matendo mengine, wengi wakaona ishara nyingi basi nao wakauza [[mali]] zao, na vitu walivyokuwanavyo, na kugawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja. Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya [[hekalu]], wakila pamoja na kushiriki kwa moyo mweupe.
Line 73 ⟶ 88:
[[Picha:PaulT.jpg|thumb|right|[[Mtume Paulo]] akiandika waraka.]]
 
[[Mitume wa Yesu]] walienea toka [[Yerusalemu]] hata [[Lida]], [[Yafa]], [[Kaisaria]], [[Damasko]] n.k. na kuanzisha jumuia nyingi.

Nazo jumuia kwa bidii za waamini wa mwanzo zikafika [[Foinike]], [[Kipro]], [[Antiokia]], ambako waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza, kutokana na waamini wa mataifa mengine kuwazidi wale wenye asili ya Kiyahudi (Mdo 11:1-23).
 
Imani na desturi za mikusanyiko hiyo zilitapakaa na hivyo kuanza kusuguana na mapokeo ya jamii mbalimbali zilipopenya. Hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi wa siku zile tayari walikuwa na imani zao walizokuwa wakizitunza. Basi ukaja wakati ambao Wakristo wakaanza kukosoana kuhusu [[dhamiri]] zao na [[huduma]]. Ndiyo asili ya [[nyaraka]] mbalimbali ambazo zinaunda sehemu muhimu wa Agano Jipya.
 
=== Mafundisho tokaya KanisaMtume la MitumePaulo ===
 
'''Viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja'''
 
Mtume Paulo anazungumza hivi:
 
'''Viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja'''
 
<blockquote>
Line 90 ⟶ 107:
 
 
'''Juu ya Wafuwafu, Ufufukoufufuko wa Miilimiili na Utukufuutukufu Wakewake'''
 
Mtume Paulo anazungumza hivi kuhusu wafu, ufufuko wa miili ya utukufu na roho kwa Kanisa la Korintho:
 
<blockquote>
Line 110 ⟶ 125:
</blockquote>
 
Hivyo imani katika ufufuko unaina sura isiyo ya kimaadaki[[maada]], tena unaina [[fahari]] kama mambo ya mbingu yenye kudumu zaidi na [[milele]] yake.
 
 
'''Wajibu wa Wakristo'''
 
Mtume Paulo anasema hivi kwa Wafilipi:
 
<blockquote>
Line 128 ⟶ 141:
 
=== Wakatoliki ===
Zaidi ya nusu ya Wakristo wote wanashikamana katika [[imani]] na [[sakramenti]] chini ya ma[[askofu]] wenye [[ushirika kamili]] na yule wa [[Roma]], ambaye kwa kawaida anaitwa [[papaPapa]]. Kati yao [[umoja]] unazingatiwa sana.
 
Kati yao [[umoja]] unazingatiwa sana kama sifa ya kwanza ya Kanisa inayotambulisha wanafunzi wa Yesu.
 
=== Waorthodoksi na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ===
Wakristo wengi walioishi upande wa mashariki wa [[Dola la Kirumi]] na ng'ambo ya mipaka yake walitengana na Wakatoliki hasa katika [[karne V]] na [[karne XI]].

Hata hivyo msimamo wao wa imani si tofauti sana, kwa kuwa wanachanga [[mapokeo]] ya awali ya [[Kanisa la Mitume]] na la [[Mababu]].
 
=== Waprotestanti ===
[[Utitiri]] wa madhehebu ya Kiprotestanti[Waprotestanti]] ndio wenye tofauti kubwa zaidi kati yao wenyewe na kati yao na Wakristo waliotajwa kwanza.

Hiyo ilitokana na msimamo wa msingi wa [[urekebisho wa Kiprotestanti]] wa kutaka kila mmoja aweze kutafsiri [[Biblia]] alivyoielewa, bila kutegemea mapokeo wala [[mamlaka]] rasmi ya Kanisa.
 
== Kanisa leo ==
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|right|200px|[[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]]]]
Kutokana na [[historia ya Kanisa]] kuwa na mchanganyiko wa mazuri na mabaya, wengine wanahisi kuwa halina maana sana.

Hali hii inajionyesha hasa pale ambapo waamini wengi wameacha kwenda kanisani isipokuwa siku ya [[Krismasi]] na [[Pasaka]] au kwenye [[harusi]] na misiba.
 
Pia kutokana na mgawanyiko wa madhehebu, kumekuwa na mkanganyiko kuhusu kazi ya Kanisa la leo.
 
Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, [[Waanglikana]], [[Wamethodisti]], [[Walutheri]] na wengineo wanafuatilia desturi kama walivyozipokea. Mtiririko wa [[ibada]] zao huandikwa na hujulikana kama [[Liturugia]].
 
Madhehebu mengine, hasa yale ya Kipentekoste, huwa na ibada ambazo hazijaandikwa kitabuni: kiongozi wa ibada wa siku hiyo huja na madondoo yake na mtiririko wa ibada huenda kama "Roho" atakavyoongoza siku hiyo. Kwa sababu hiyo husema kwamba hawafuati desturi au mapokeo. Ukiangalia zaidi utaona kuwa ibada zao pia huwa na mtindo na mtiririko fulani, kama vile kuimba mapambio ya harakaharaka wakiwa wanapiga makofi, kucheza na kurukaruka. Mapambio hayo hufuatiliwa na mengine ya taratibu wakiinua mikono [[kuabudu]]. Inawezekana kusema hao nao wana utaratibu au liturugia yao ingawa haijaandikwa kwenye vitabu.
Line 152 ⟶ 173:
Jibu linaweza kupatikana katika maneno ya Yesu mwenyewe, aliposema kwamba wafuasi wake ni chumvi ya dunia, ambayo ilete ladha katika maisha ya watu, lakini kama chumvi hiyo inapoteza ladha yake, haifai kitu, isipokuwa kutupwa na kukanyagwa kwa dharau. Hivyo changamoto ya Wakristo ni kufuata vema mafundisho ya imani yao ili kukidhi hitaji la nyakati hizi la kuishi kwa amani, furaha na upendo duniani kote .
 
== Kurudi Kwakwa Kristo ==
 
== Kurudi Kwa Kristo ==
Ni imani ya Wakristo, lakini pia ya Waislamu, kwamba Yesu atarudi duniani kwa utukufu, ingawa jambo hilo linatafsiriwa kwa namna tofauti.