Tiro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Bandari ya Tiro. thumb|Tao la Ushindi. thumb|[[Magofu ya [...'
 
No edit summary
Mstari 11:
 
Utalii unavutiwa na magofu ya zamani, kikiwemo kiwanja cha mashindano ya mbio ya [[farasi]] cha wakati wa utawala wa [[Warumi]] kilichoorodheshwa na [[UNESCO]] kati ya mahali pa [[Urithi wa Dunia]] mwaka [[1979]].<ref>Resolution 459</ref>.
 
Katika [[Biblia]] mji huo unachukuliwa kama [[kielelezo]] cha [[kiburi]]; hata hivyo [[Yesu]] alisema ungetubu mapema [[Wayahudi]] wenzake aliowahubiria kwa kuwapa uthibitisho wa miujiza mingi.
 
==Tanbihi==