Tiro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Wakazi walikuwa 117,000 hivi mwaka [[2003]],<ref>[http://www.citypopulation.de/Lebanon.html Lebanon – city population]</ref><ref>[http://www.country-data.com/cgi-bin/query/r-7956.html Lebanon Population]</ref> na kuufanya mji wa nne nchini Lebanoni.<ref>[http://tyros.leb.net/tyre/ Tyre City, Lebanon]</ref>
 
[[Utalii]] unavutiwa na magofu ya zamani, kikiwemo kiwanja cha mashindano ya mbio ya [[farasi]] cha wakati wa utawala wa [[Warumi]] kilichoorodheshwa na [[UNESCO]] kati ya mahali pa [[Urithi wa Dunia]] mwaka [[1979]].<ref>Resolution 459</ref>.
 
Katika [[Biblia]] mji huo unachukuliwa kama [[kielelezo]] cha [[kiburi]]; hata hivyo [[Yesu]] alisema ungetubu mapema [[Wayahudi]] wenzake aliowahubiria kwa kuwapa uthibitisho wa miujiza mingi ([[Math]] 11:21-23).
 
==Tanbihi==