Beirut : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 121 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3820 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ras Beirut.jpg|thumb|250px|Kitovu cha Beirut kutoka hewani: Bandari, Ras Beirut, Uwanja wa ndege]]
'''Beirut''' (''pia: Beyrouth;'' [[Kiarabu]]: بيروت) ni [[mji mkuu]] wa [[Lebanon]], pia [[mji]] mkubwa na [[bandari]] kuu ya nchi hiyo. Iko mwambaoni wapa [[Bahari ya Kati]]. Imekadiriwa kuwa idadi ya wakazi ni kati ya milioni moja na mbili.
 
Imekadiriwa kuwa idadi ya wakazi ni kati ya [[milioni]] moja na mbili.
Mahali pa mji ni kanda kati ya bahari na milima inayofuatana sambamba na mwendo wa pwani. Kitovu cha kihistoria iko kando la rasi inayoitwa Ras Beirut penye kitovu cha mji wa kisasa kabla ya [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Lebanon]] kati ya 1975 na 1990.
[[Picha:Beirut msikiti kanisa.JPG|thumb|250px|Kanisa na msikiti kandokando mjini Beirur]]
Kipindi kirefu cha vita hiyo ya ndani kilibadilisha uso wa mji kwatika mengi. Mji ulitenganishwa katika maeneo ya Wakristo na Waislamu hasa. Mitaa mipya ilianzishwa mbali na mstari wa mapigano ujenzi ukaongezeka sana hasa upande wa kaskazini na kuelekea milimani.
 
Mahali pa mji ni kanda kati ya [[bahari]] na milima inayofuatana sambamba na mwendo wa [[pwani]].
Tangu amani ya 1990 mji ulijengwa upya. Lakini mashambulizi ya ndege za Israel wakati wa Julai 2006 yaliharibu tena sehemu za mji.
[[Picha:Beirut- building from before civil war.jpeg|thumb|250px|Nyumba zilizofyatuliwa na risasi wakati wa vita 1975-1990]]
 
Mahali pa mji ni kanda kati ya bahari na milima inayofuatana sambamba na mwendo wa pwani. Kitovu cha kihistoria iko kando laya [[rasi]] inayoitwa Ras Beirut penye kitovu cha mji wa kisasa kabla ya [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Lebanon]] kati ya miaka [[1975]] na [[1990]].
Kabla ya vita Beirut ilikuwa kitovu cha kiuchumi na kiutamaduni wa [[Mashariki ya Kati]]. Nafasi ya kinara cha kiutamaduni imerudishwa kwa sababu ya uhuru kwa ajili ya magazeti na wachapishaji vitabu lakini uongozi wa kiuchumi umehamia nchi za [[ghuba ya Uajemi]] kama vile [[Kuwait]], [[Qatar]] au [[Falme za Kiarabu]].
[[Picha:Beirut msikiti kanisa.JPG|thumb|250px|[[Kanisa]] na [[msikiti]] kandokando mjini BeirurBeirut.]]
Kipindi kirefu cha [[vita]] hiyo ya ndani kilibadilisha uso wa mji kwatikakatika mengi. Mji ulitenganishwa katika maeneo ya [[Wakristo]] na [[Waislamu]] hasa. Mitaa mipya ilianzishwa mbali na mstari wa mapigano, [[ujenzi]] ukaongezeka sana hasa upande wa [[kaskazini]] na kuelekea milimani.
 
Tangu [[amani]] ya 1990 mji ulijengwa upya. Lakini mashambulizi ya [[ndege za Israelvita]] wakatiza [[Israel]] wamnamo Julai [[2006]] yaliharibu tena sehemu za mji.
[[Picha:Beirut- building from before civil war.jpeg|thumb|250px|[[Nyumba]] zilizofyatuliwa na [[risasi]] wakati wa vita 1975-1990.]]
 
Kabla ya vita Beirut ilikuwa tangu muda mrefu kitovu cha kiuchumi na kiutamadunikielimu wa [[Mashariki ya Kati]]. Chuo Kikuu cha Kimarekani ([[American University of Beirut]]) pamoja na vyuo vikuu vya [[serikali]] na [[Kanisa Katoliki]] vimeendelea kufundisha hata wakati wa vita. Nafasi ya kinara cha kiutamadunikielimu imerudishwa kwa sababu ya [[uhuru]] kwa ajili ya magazetima[[gazeti]] na wachapishaji vitabu, lakini uongozi wa kiuchumi umehamia nchi za [[ghuba ya Uajemi]] kama vile [[Kuwait]], [[Qatar]] auna [[Falme za Kiarabu]].
 
Beirut imekuwa tangu muda mrefu kitovu cha elimu katika Mashariki ya Kati. Chuo Kikuu cha Kimarekani (American University of Beirut) pamoja na vyuo vikuu vya serikali na mapadre Wakatoliki vimeendelea kufundisha hata wakati wa vita.
{{mbegu-jio-Asia}}