Mizimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
Kuna tofauti kati ya Mizimu na vizimu; vizimu ni roho za binadamu (hasi) ambao hawakupata majukumu mapya baada ya kuiaga dunia kwa sababu ya kutotimiza majukumu yao au kufanya kinyume wakati wapo duniani.
Mizimu hai yenye mawasiliano ni kitovu cha Utamawazo (mawazo shirika ndani ya jamii).
Utamawazo huunda endelezi ya tabia na tamaduni za kabila au taifa. Roho zenye endelezi chanya baada ya kuiaga dunia hujulikana pia kama Mizimu hai.