Slovakia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 53:
|footnotes =
}}
[[Picha:Slovakia-map.png|thumb|400px|left|]]
 
'''Slovakia''' (kwa [[Kislovakia]]: ''Slovensko'') ni nchi ya [[Ulaya ya Kati]] yenye wakazi milioni tano na nusu. Imepakana na [[Ucheki]], [[Austria]], [[Poland]], [[Ukraine]] na [[Hungaria]]. Mji mkubwa na [[mji mkuu]] ni [[Bratislava]]. Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu [[1 Mei]] [[2004]].
 
Imepakana na [[Ucheki]], [[Austria]], [[Poland]], [[Ukraine]] na [[Hungaria]].
Miji muhimu baada ya Bratislava ni [[Košice]], Banská Bystrica, Žilina, Trenčín, Nitra, Prešov na Trnava.
Slovakia imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu [[1 Mei]] [[2004]].
 
Mji mkubwa na [[mji mkuu]] ni [[Bratislava]].
Wakazi walio wengi wanasema Kislovakia lakini kieneo kuna pia wasemaji wa [[Kihungaria]], [[Kibelarus]] na [[Kiukraine]].
 
Miji muhimu baada ya Bratislava ni [[Košice]], [[Banská Bystrica]], [[Žilina]], [[Trenčín]], [[Nitra]], [[Prešov]] na [[Trnava]].
 
Wakazi walio wengi wanasema [[Kislovakia]] lakini kieneo kuna pia wasemaji wa [[Kihungaria]], [[Kibelarus]] na [[Kiukraine]].
 
== Historia ==
Kwa sehemu kubwa ya [[historia]] yake hadi mwaka [[1918]] Slovakia ilikuwa chini ya watawala wa [[Habsburg]] waliokuwa wafalme na makaisarima[[kaisari]] wa Austria.

Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] Slovakia ilipata [[uhuru]] pamoja na [[Ucheki]] katika nchi ya [[Chekoslovakia]].

Mwaka [[1993]] Ucheki na Slovakia ziliachana na kuwa kila moja nchi ya pekee kila moja.
[[Picha:Slovakia-map.png|thumb|400px|left|]]
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://web.archive.org/web/20050528231000/www.government.gov.sk/english/ The Slovak Republic Government Office]
 
{{Umoja wa Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}