Kiyunani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 41 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q107358 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kiyunani''' -ni jina hilo ni la [[Kiswahili]] cha zamani kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni [[lugha]] ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au kwa tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").
 
Neno la Kiswahili cha zamani limetokana na lugha ya [[Kiarabu]] ambapo <big>يونان</big> ''yunan'' na hapa ilitajalinataja kiasili Wagiriki wa eneo la [[Ionia]] au wa [[kabila]] la Ioni[[Waioni]] walioishi kwenye [[pwani]] laya [[mashariki]] laya [[Bahari ya Aegeis]].
 
Leo hii si la kawaida sana, lakini inapatikanalinapatikana bado, hasa katika matoleo mbalimbali ya [[Biblia]]. MiakaKwa yakuwa nyuma[[kitabu]] nenohicho lakina "Kigiriki"miaka likasambaa2000-3000 zaidihivi, kutokanani nawazi athirakwamba yakinasimulia Kiingerezamambo kinachotumia manenoya "Greecezamani, Greek"hivyo kutokapengine [[Kilatini]]neno "Graeci"Kiyunani ambayolinatafsiriwa nikuwa kawaida[[Kigiriki katikacha lughazamani]], nyingina za[[Uyunani]] Kiulaya.kuwa Wanaotajwa[[Ugiriki wenyeweya hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki"Kale]].
 
Ni kwamba miaka ya nyuma neno "Kigiriki" limezidi kusambaa zaidi kati ya wanaoongea Kiswahili, kutokana na [[athira]] ya [[Kiingereza]] kinachotumia maneno "Greece, Greek" kutoka [[Kilatini]] "Graeci", ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya.
 
Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", na lugha yao "Helleniki".
 
{{DEFAULTSORT:Yunani}}