Ureno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 57:
}}
 
'''Ureno''' (kwa [[Kireno]] Portugal)''' ni nchi kwenye pembe ya kusini magharibi kabisa ya [[Ulaya]]. Upande wa magharibi na kusini imepakana na [[Bahari ya Atlantiki]], na upande wa mashariki na mashariki imepakana na [[Hispania]].
 
Funguvisiwa vya Atlantiki ni pia sehemu za Ureno. Visiwa hivihivyo ni [[Azori]] kati ya Ulaya na [[Amerika]] na [[Visiwa vya Madeira]] vilivyoko katika sehemu ya Afrika ya Atlantiki.
 
== Jina ==
Jina la nchi katika [[Kiswahili]] limetokana na neno la Kireno "''o reino''" linalomaanisha "ufalme".

Wasafiri na [[wapelelezi]] Wareno kama [[Vasco da Gama]] walijitambulisha kama wawakilishi wa "''Reino de Portugal''" (ufalme wa Ureno). Ni sehemu ya kwanza tu iliyoingia katika [[lugha]] ya Kiswahili.
 
== Jiografia ==
Umbo la Ureno ni kanda lenye [[upana]] wa [[kilomita]] 150 na [[urefu]] wa [[kilomita]] 475 upande wa mahgharibimagharibi wa [[Rasi ya Iberia]]. Mpaka na Hispania una urefu wa 1,214 km na [[pwani]] laya Atlantiki huwa na 1,793 km.
 
Kuna sehemu mbili tofauti; hizi ni nchi upande wa kaskazini yakwa [[mto Tejo]] na sehemu ya kusini.
Kaskazini ina milima mingi ikiwa ana [[tambarare]] kati ya milima inayofaa kwa [[kilimo]]. Kusini ni kwa jumla tambarare pamoja na vilimavilima.
 
[[Hali ya hewa]] ya kazkazinikaskazini ni [[baridi]] kiasi na kuna [[mvua]] nyingi lakini kusini ni [[joto]] na pakavu.
 
[[Mlima]] mkubwa ni [[Torre]] yenye [[kimo]] cha [[mita]] 1,993.
 
Mito muhumimuhimu ni Tejo, Douro (kwa [[Kihispania]] [[Duero]]) na [[Mondego]] ambayo ni mto mrefu uliopo ndani ya Ureno pekee wakati mito mingi ina [[chanzo]] katika Hispania.
 
Bonde la Tejo ni [[kitovu]] muhimu cha kilimo.
 
Kusini iko eneo alla [[Algarve]] iliyokuwa lengo la watalii wengi kutoka pande zote za Ulaya.
 
Ureno ina pia fungivisiwafunguvisiwa mbili katika Atlantiki mbali na bara; hizihizo ni [[Madeira]] na [[Azori]]. Visiwa hivi ni sehmusehemu ya [[Mgongo kati wa Atlantiki]] viko karibu zaidi na Afrika kuliko Ureno bara.

Mlima mrefu kabisa wa Ureno ni [[Ponta do Pico]] kwenye Azori.
 
== Historia ==
Katika [[karne]] za [[KK]] Ureno ilikaliwa na ma[[kabila]] yaleyale ya [[Wakelti]] kama Hispania.
Katika karne [[KK]] Ureno ilikaliwa na makabila yale yale ya Kikelti kama Hispania. Waroma walitaja eneo lote la Ureno na Hispania ya leo kwa jina la "[[Iberia]]". Tangu mwaka 450 KK sehemu za nchi zilitawaliwa na [[Wafinisia]] wa [[Karthago]] na yote ikawa baada ya mwaka 200 KK sehemu ya [[Dola la Roma]]. Baada ya kuporomoka ya Dola la Roma mnamo 470 [[BK]] makabila ya wahamiaji wa [[Kigermanik]] walikuwa mabwana wa eneo.
 
Waroma walitaja eneo lote la Ureno na Hispania ya leo kwa jina la "[[Iberia]]".
Tangu mwaka 711 [[Waarabu]] walivamia nchi na kuitawala. Vita ya kuwaondoa tena iliendelea kwa karne kadhaa. Tangu mwaka 1143 mtawala wa eneo la mji wa [[Kale (mji)|Kale]] katika kaskazini alikuwa na uwezo wa kutosha kujitetea dhidi ya Waarabu na pia dhidi ya majirani katika eneo la Kihispania. Baada ya ushindi katika vita dhidi ya Wahispania mwaka 1128 Afonso I alijitangaza kuwa mtawala wa kujitegemea na baadaye alichukua cheo cha mfalme. Alitumia jina la mji Kale iliyojulikana kama "Porto Kale" (bandari ya mji wa Kale) iliyokuwa "Portokale" na baadaye "Portogale".
 
Tangu mwaka [[450 KK]] sehemu za nchi zilitawaliwa na [[Wafinisia]] wa [[Karthago]], na baada ya mwaka [[200 KK]] yote ikawa sehemu ya [[Dola la Roma]].
Nchi hii ndogo ilifaulu kutunza uhuru wake hata baada ya maeneo yote mengine ya jirani kuunganishwa katika ufalme mpya wa Hispania.
 
Baada ya kuporomoka ya Dola hilo mnamo [[470]] [[BK]] makabila ya [[wahamiaji]] wa [[Kigermanik]] walikuwa mabwana wa eneo lote.
Nchi hii ndogo ilikuwa kati ya nchi muhimu zaidi duniani kwa karne mbili za [[karne ya 15|15]] na [[karne ya 16|16]] BK. Wafalme wake walilenga jitihada na nguvu za nchi kwa teknolojia za usafiri baharini. Wareno waliweza kuboresha [[jahazi]] zao hadi kupita nchi zote za dunia kwa muda wakafaulu kwenda mbali. Wareno waligundua njia ya kuvuka rasi ya Afrika Kusini na kufika kwenye mabandari ya [[Afrika ya Mashariki]] hata [[Bara Hindi]]. Ureno ilitajirika kutokana na biashara kati ya [[India]], [[Asia]] na Ulaya. Wareno walijenga vituo kama vile boma za [[Msumbiji (kisiwa)|Msumbiji]] na [[Mombasa]] wakiwa mabwana wa pwani la [[Afrika ya Mashariki]]. Lakini nguvu za nchi ndogo hazikuweza kutetea haya yote. Baada ya kufika kwa mataifa mengine kama vile [[Uturuki]], [[Uholanzi]], [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] Wareno walipaswa kuwaachia maeneo mengi.
 
Tangu mwaka [[711]] [[Waarabu]] walivamia nchi na kuitawala.
 
[[Vita]] vya kuwaondoa tena viliendelea kwa karne kadhaa.
 
Tangu mwaka [[1143]] [[mtawala]] wa eneo la mji wa [[Kale (mji)|Kale]] katika kaskazini alikuwa na uwezo wa kutosha kujitetea dhidi ya Waarabu na pia dhidi ya majirani wa eneo la Kihispania.
 
Tangu mwaka 711 [[Waarabu]] walivamia nchi na kuitawala. VitaBaada ya kuwaondoa tena iliendelea kwa karne kadhaa. Tangu mwaka 1143 mtawala wa eneo la mji wa [[Kale (mji)|Kaleushindi]] katika kaskazini alikuwa na uwezo wa kutosha kujitetea dhidi ya Waarabu na pia dhidi ya majirani katika eneo la Kihispania. Baada ya ushindi katika vita dhidi ya Wahispania mwaka [[1128]] Afonso I alijitangaza kuwa mtawala wa kujitegemea na baadaye alichukua cheo cha [[mfalme]]. Alitumia jina la mji Kale iliyojulikana kama "Porto Kale" (bandari ya mji wa Kale) iliyokuwa "Portokale" na baadaye "Portogale".
 
Nchi hii ndogo ilifaulu kutunza [[uhuru]] wake hata baada ya maeneo yote mengine ya jirani kuunganishwa katika ufalme mpya wa Hispania.
 
Nchi hii ndogo ilikuwa kati ya nchi muhimu zaidi [[dunia]]ni kwa karne mbili za [[karne ya 15|15]] na [[karne ya 16|16]]. Wafalme wake walilenga [[jitihada]] na [[nguvu]] za nchi kwa [[teknolojia]] za [[usafiri baharini]].
 
Wareno waliweza kuboresha [[jahazi]] zao hadi kupita nchi zote za dunia na kwa muda wakafaulu kwenda mbali.
 
Wareno waligundua njia ya kuvuka [[rasi]] ya [[Afrika Kusini]] na kufika kwenye bandari za [[Afrika ya Mashariki]] hata [[Bara Hindi]].
 
Ureno ilitajirika kutokana na [[biashara]] kati ya [[India]], [[Asia]] na Ulaya. Wareno walijenga vituo kama vile ma[[boma]] ya [[Msumbiji (kisiwa)|Msumbiji]] na [[Mombasa]] ([[Kenya]]) wakiwa mabwana wa pwani ya [[Afrika ya Mashariki]].
 
Lakini nguvu za nchi ndogo hazikuweza kutetea haya yote. Baada ya kujitokeza kwa mataifa mengine kama vile [[Uturuki]], [[Uholanzi]], [[Uingereza]] na [[Ufaransa]], Wareno walipaswa kuwaachia maeneo mengi.
 
Kati ya [[koloni za Ureno]] zilibaki hasa [[Msumbiji]], [[Angola]], [[Guinea Bisau]], [[Cabo Verde]], [[São Tomé na Príncipe]] katika [[Afrika]], [[Brazil]] katika [[Amerika ya Kusini]] (hadi [[1822]]) pamoja na maeneo madogomadogo kama [[Goa]] kwenye [[Bara Hindi]], [[Timor ya Mashariki]] katika funguvisiwa ya [[Indonesia]], mji wa [[Makao]] katika [[Uchina]].
 
Mwaka [[1910]] Ureno iliona [[mapinduzi]] ikawa [[jamhuri]].
Mwaka [[1910]] Ureno iliona mapinduzi ikawa jamhuri. Tangu 1926 hadi 1974 ilikuwa na serikali za kidikteta. Baada ya mapinduzi ya 1974 Ureno iliacha koloni zake zilizobaki isipokuwa [[Makao]] kwa sababu [[Uchina]] haukuwa tayari kuipokea hadi [[1999]].
 
Tangu [[1926]] hadi [[1974]] ilikuwa na serikali za ki[[dikteta]].
Ureno ikajiunga na [[Umoja wa Ulaya]] mwaka [[1986]] ikaona maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
 
Mwaka [[1910]] Ureno iliona mapinduzi ikawa jamhuri. Tangu 1926 hadi 1974 ilikuwa na serikali za kidikteta. Baada ya mapinduzi ya 1974 Ureno iliacha kolonimakoloni zakeyake zilizobakiyaliyobaki isipokuwa [[Makao]] kwa sababu [[Uchina]] haukuwa tayari kuipokea hadi [[1999]].
 
Ureno ikajiunga na [[Umoja wa Ulaya]] mwaka [[1986]] ikaona tena [[maendeleo]] ya kiuchumiki[[uchumi]] na kijamiiki[[jamii]].
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Ureno]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Portugal}}
{{Ulaya}}
 
{{Umoja wa Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{Mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Ureno| ]]
[[Jamii:Nchi za Umoja wa Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]