John F. Kennedy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''John Fitzgerald Kennedy''' ([[29 Mei]] [[1917]] – [[22 Novemba]] [[1963]]) alikuwa Raisi wa [[Marekani]]. Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu. Ukoo wa Kennedy una asili ya [[Ueire|Kiirish]]. [[Vita Kuu ya Pili]] ilipoanza alijiunga na [[jeshi la wanamaji]]. 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za [[Japani]]. Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 22 Novemba 1963. Atakumbukwa pia kwa kutetea haki za watu wote bila kujali rangi.
 
Alisema "Ask not what you can do for your country; ask what your country can do for you."
Alisema ("Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".)
 
== Viungo vya nje ==