Mkoa wa Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q309352 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 11:
 
==Wakazi==
Mwaka 2002 palikuwa na wakazi 1,495,333 [http://web.archive.org/web/20031215150658/http://www.tanzania.go.tz/census/census/iringa.htm] katika wilaya zifuatazo: [[Iringa Kijijini]] (wakazi 245,623), [[Wilaya ya Mufindi|Mufindi]] (wakazi 283,032), [[Wilaya ya Makete|Makete]] (wakazi 106,061), [[Wilaya ya Njombe|Njombe]] (wakazi 420,348), [[Wilaya ya Ludewa|Ludewa]] (wakazi 128,520), [[Iringa Mjini]] (wakazi 106,668), na [[Wilaya ya Kilolo|Kilolo]] (wakazi 205,081).
 
Makao makuu yako [[Iringa (mji)|Iringa mjini]].