Wilaya ya Urambo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2500021 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Urambo location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Urambo (kijani) katika [[mkoa wa Tabora]].]]
'''Wilaya ya Urambo''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Tabora]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 370,796 [http://web.archive.org/web/20031226140108/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/urambo.htm].
 
Sehemu hii ilikuwa kiini cha utemi wa Urambo ambako mtemi [[Mirambo]] alijenga milki yake.