Mkoa wa Njombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2086273 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 4:
'''Mkoa wa Njombe''' ni moja kati ya mikoa mipya [[Tanzania]], ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]] na [[Mkoa wa Iringa|Iringa]].
 
Mwaka [[2002]] katika eneo hilo kulikuwa na wakazi 654,929 [http://web.archive.org/web/20031215150658/http://www.tanzania.go.tz/census/census/iringa.htm] katika wilaya zifuatazo: [[Wilaya ya Makete|Makete]] (wakazi 106,061), [[Wilaya ya Njombe|Njombe]] (wakazi 420,348), [[Wilaya ya Ludewa|Ludewa]] (wakazi 128,520).
 
Kutokana na hadhi mpya, wilaya ya Njombe imegawanyika kati ya ile ya mjini na ile ya vijijini. Pia, mwezi wa Machi 2012, imeanzishwa [[wilaya ya Wanging'ombe]].