Songea (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q794813 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 18:
 
}}
'''Songea''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]]. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503125307/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban]</ref>.
 
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.