Musoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
d
fixing dead links
d (Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q847315 (translate me)) |
d (fixing dead links) |
||
}}
'''Musoma''' ni mji wa [[Tanzania]] uliopo kando ya mashariki ya [[Ziwa Viktoria]] inapakana na Wilaya ya Rorya kwa upande wa Kaskazini. Ni makao makuu ya [[Mkoa wa Mara]]. Musoma ina [[Halmashauri]] mbili ambazo ni [[Halmashauri ya Manispaa ya Musoma]] na [[Halmashauri ya Wilaya ya Musoma]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]
== Marejeo na Viungo vya Nje ==
|