Tofauti kati ya marekesbisho "Lindi (mji)"

42 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
fixing dead links
d (Bot: Migrating 22 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q829886 (translate me))
d (fixing dead links)
 
}}
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150&nbsp;km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503115556/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm Tanzania.go.tx/census/districts/lindiurban].</ref>
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
3,346

edits