Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1420 (translate me)
d rekebisha viungo vibaya (dead links)
Mstari 5:
Kuna aina nyingi za motokaa; magari madogo hubeba abiria tu na gari dogo la kawaida hubeba dereva pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8.
 
Mengine ya kubeba abiria ni [[mabasi]] ambayo ni pia aina ya motokaa lakini mara nyingi hutajwa kama kundi la pekee, sawa na [[malori]] ambayo ni motokaa kubwa za kubeba mizigo. Kuna kila aina ya mchanganyiko kati ya aina hizi.
 
[[Picha:Chassis with suspension and exhaust system.jpg|thumb||Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi]].
== Muundo ==
Motokaa huwa na [[injini]] (mota) inayosukuma [[magurudumu]] kupitia [[giaboksi]]. Injini pamoja na magurudumu na bodi hushikwa na [[fremu ya gari]]. Magari madogo ya kisasa huwa na bodi inayojibeba yenyewe bila fremu ya pekee. Motokaa nyingi huwa na magurudumu manne lakini magari mazito sana kama lori au basi mara nyingi huwa na magurudumu ya ziada.
 
Dereva hutumia mitambo ya kutawala motokaa ambayo ni hasa:
Mstari 24:
 
== Historia ya motokaa ==
Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano [[farasi]], [[punda]] au [[maksai]]. Waroma wa kale walifanya majaribio na magari yaliyosukumwa na watumwa. Maendeleo ya uhandisi yalisababisha majaribio ya kutengeneza magari yaliyosogezwa kwa nguvu ya upepo yakitumia [[tanga]] kuanzia mwaka 1600 huko [[Uholanzi]].
 
=== Injini za mvuke ===
Mstari 30:
 
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi herufu baya ya [[eksozi]]. Lakini magari haya yalikuwa na tatizo ya kwamba yalitegemea kupata nichati kwa njia ya beteri nzito zilizochukua muda mrefu kuchajiwa. Hata hivyo hadi mwanzo wa karne ya 20 magari ya umeme yalikuwa mengi katika miji mikubwa.
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita ]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.
 
Baadaye magari ya petroli yalisogea mbele kwa sababu yaliweza kutembea mbali kwa kujaza mafuta kuliko gari la umeme kwa beteri yake tena beteri ilichua masaa hadi kujazwa upya wakati mafuta hujazwa mara moja.
Mstari 39:
 
=== Injini za mwako ndani (petroli na diseli) ===
[[Injini mwako ndani]] imekuwa hadi leo njia kuu ya kusogeza magari na kwa kawaida tukiongelea motokaa tunamaanisha gari lenye injini mwako ndani inayochoma petroli au diseli.
[[Picha:1885Benz.jpg|thumb|Motokaa ya kwanza ya Benz ya 1885]]
Katika karne ya 19 wahandisi mbalimbali walianza kutengeneza injini za mwako wa ndani zilizochoma gesi au petroli ndani yake. Injini ya kwanza iliyofaulu kuanzia [[1876]] na kutengenezwa kwa wingi ilikuwa ni ile ya Mjerumani [[Nikolaus Otto]] aliyeshirikiana na [[Gottlieb Daimler]] na Wilhelm Maybach. Ilikuwa na mapigo manne petroli ikichomwa kwa msaada wa mwasho wa umeme na hadi leo sehemu kubwa ya injini zote inafuata kielelezo wa Otto. [[1879]] [[Karl Benz]] alitengeneza injini ya mapigo mawili kwa mfano wa Otto akaitumia kwa gari lake na tangu 1885 akatoa aina ya kwanza ya motokaa yenye magurudumu matatu iliyoendelea kujengwa mfululizo yaani kibiashara.
 
Maendeleo ya motokaa zilizotumia injini mwako ndani yalikuwa haraka. Mwanzoni yalikuwa na matatizo mengi hasa uhaba wa petroli. Benz alinunua mafuta kwa gari lake kwenye duka la dawa.
 
1892 mhandisi Mjerumani [[Rudolf Diesel]] alitunga injini inayochoma mafuta kwa kuikandamiza vikali na kutumia joto la hewa ndani ya injini kutokana na mshtuko wa kukandamizwa. Mashine hizi zina uwezo kutumia aina mbalimbali za mafuta na ile ya kawaida ilikuwa nzito kuliko petroli ikaitwa "diseli". Injini za diseli zamani hazikupendwa kwa magari madogo kutokana na sauti kubwa zaidi ya injini lakini zikawa kawaida kwa malori, mabasi na injini za meli kwa sababu zinatumia mafuta kidogo kuliko injini za petroli.
[[Picha:1926 Ford Model T Tudor Sedan FLA915.jpg|thumb||Gari la Ford T ya 1926]]
== Ushindi wa motokaa ==
Mstari 56:
== Mielekeo mipya ==
Tangu miaka ya 1970 kuzidi kwa motokaa kulileta pia matizo mapya:
* machafuko kwa mazingira kwa kelele na hewa chafu ya eksozi. Machafuko haya yalionekana kusababisha magonjwa kama kansa pia kuleta uharibifu kwa machafuko kwa hewa. Matokeo yake yalikuwa [[mvua asidi]] inayohatarisha mimea pamoja na misitu, wanyama ndani ya maziwa na pia kuharibu majengo hasa majengo ya kihistoria.
* kupanda kwa bei ya petroli tangu [[vita ya Oktoba 1973 kati ya Waarabu na Israeli]]. Ilionekana mara ya kwanza ya kwamba nchi zenye mafuta zina uwezo wa kusumbua uchumi wa nchi wateja kwa kusimamisha utengenezaji.
* hofu ya kuishi kwa mafuta ya petroli baada ya [[Klabu ya Roma]] kutoa taarifa yake ya kwanza iliyoeleza ya kwamba malighafi yote duniani yana mwisho na yatakwisha siku moja.
 
Jibu la wahandisi lilikuwa majaribio ya kuboresha injini zisizotumia mafuta. Ni hasa teknolojia mbili zilizoendelea kushughulikiwa:
Mstari 64:
* injini ya umeme
 
Kwa jumla magari ya umeme bado hutegemea mbinu za kubeba nishati njiani kwa beteri. Siku hizi ni hasa injini za umeme zinazopokea jitihada nyingi. Tatizo hadi leo ni uzito, uwezo na gharama za [[beteri]]. Hata kama zimeshoboreka sana bado chaji ya beteri inaruhusu safari ya kilomita 50-100 tu. Kuchajiwa upya kunachukua masaa. Kuna mawazo ya kuunda mfumo wa vituo vya beteri ambako beteri zingebadilishwa sawa na vituo vya mafuta vya leo.
 
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
* [[Daimler-Benz]] na makampuni menine yametengeneza magari yenye teknolojia mpya ya [[seli ya fueli]] inayotumia [[haidrojeni]][http://thomasnaef.info/convertible-car-seats/ .] Lakini hadi sasa nguvu yake haitoshi kwa magari ya kawaida. Utafiti unaendelea.
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteri.