Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 141 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7802 (translate me)
d suruhisha viungo
Mstari 7:
'''Mkate''' ni chakula kinachotengenezwa kwa kuoka [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]]. Mara nyingi viungo huongezwa kwa kubadilisha ladha. Kuna pia mikate inayotiwa kiasi kidogo cha mafuta.
 
Kama kinyunga kinatengenezwa kwa kuongeza mafuta mengi, sukari na maziwa si mkate tena bali [[keki]].
 
Kimsingi una aina mbili za mkata:
Mstari 26:
 
=== Mikate iliyochachuka ===
Kwa aina nyingi ya mikate kinyunga huchachuka. Kuna madawa mbalimbali zinazofaa kuwa [[chachu]] kama hamira. Vijidudu vya chachu viko hewani kwa hiyo kinyunga kitachachuka kikikaa hewani kwa muda wa siku moja au zaidi (chachu asilia).
 
Njia ya haraka ya na uhakika ni kutia dawa la hamira lililonunuliwa. Kama friji ipo inawezekana kuweka akiba ndogo ya kinyunga kilichochachuka kando kila safari. Kitaunzwa katika hali baridi halafu kukorogwa katika kinyunga kipya.
Mstari 44:
 
== Picha ==
 
<gallery>
Image: Fladenbrot-2.jpg|Mkate bapa wa [[Uturuki]] uliochachuka