Sabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
[[Amri]] hii ilichukuliwa kama amri ya kutofanya [[kazi]] bali kupumzika.
 
[[Tabia]] ya pekee ya amri hii ni [[sharti]] la kuwapa hata [[wafanyakazi]] na [[watumwa]] nafasi hii ya kupumzika, hasa inavyotajwa katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:12-15 ambamo sababu si [[uumbaji]] bali [[ukombozi]] ambao Mungu kwa njia ya Musa aliwatoa Waisraeli utumwani [[Misri]]. Hivyo amri hii inatazamwa kama [[sheria]] ya kwanza ya kutunza [[haki za wafanyakazi]].
 
Kadiri ya Kutoka 31:13-17 adhimisho la Sabato lilitolewa na Mungu kwa Waisraeli kama [[ishara]] ya [[agano]] la kudumu kati yake na wao.
 
== Mapokeo ya Talmudi ==
Line 33 ⟶ 35:
Chanzo cha badiliko hilo kinaonekana katika taarifa ya [[Matendo ya Mitume]] 20:7 inayoonyesha ya kwamba wakati wa [[Mtume Paulo]] Wakristo walikutana siku ya kwanza ya juma. Sababu yake ilikuwa kukumbuka [[ufufuko wa Yesu]] aliyetoka [[kaburi]]ni siku hii ya kwanza yaani Jumapili.
 
Agano Jipya halielezi badiliko hili lilitokeaje, lakini linahusianishwa na matukio mawili ya Kanisa katika [[karne ya 1]]: polepole Wakristo wa mataifa waliwapita wale wa Kiyahudi kwa idadi na bidii, nao hawakujali tena mambo mbalimbali ya [[Agano la Kale]]; amani kati ya Wakristo na Wayahudi ilizidi kupungua, na baada ya maangamizi ya [[Hekalu la Yerusalemu]] ([[70]] [[BK]]) hao wa mwisho waliwakataza hao wa kwanza wasiendelee kushiriki ibada zao sinagogini.
Agano Jipya halielezi badiliko hili. Sababu inayotajwa tangu kale (lakini baada ya kipindi cha [[Biblia]]) ni kwamba [[ufufuko]] wa [[Yesu]] ilikuwa mwanzo wa [[uumbaji mpya]] na hivyo katika kipindi cha Agano Jipya ile [[sikukuu]] ya agano la kwanza haisimami tena.
 
[[Barua kwa Wakolosai]] 2:16 inawahimiza Wakristo hao wasijisikie kubanwa na masharti ya Kiyahudi wala kusumbuliwa na mtu kuhusu Sabato na siku nyingine za [[kalenda ya Kiyahudi]].
 
AganoSababu Jipyaya halielezikiteolojia badilikoinayotajwa hili.tangu Sababumwanzo inayotajwawa tangu[[karne kaleya (lakini2]] (baada ya kipindi cha [[Biblia]] kutungwa) ni kwamba [[ufufuko]] wa [[Yesu]] ilikuwa mwanzo wa [[uumbaji mpya]] na hivyo katika kipindi cha Agano Jipya ile [[sikukuu]] ya agano la kwanza haisimami tena. Kwa sababu hiyo Dominika kama [[Siku ya Bwana]] inaitwa siku ya nane, ambapo kwa kumfufua Yesu, Mungu alianza juma jipya la uumbaji mtukufu zaidi.
 
Kwa muda mrefu Jumapili iliheshimiwa kama siku ya [[ibada]] ya Kikristo lakini bila masharti ya kuacha kazi. Sharti hili lilikaziwa tu katika nchi za [[Ulaya]] hasa tangu [[karne ya 18]] na [[karne ya 19|19]].
Line 40 ⟶ 46:
 
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Kalenda]]