Wilaya ya Ludewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q441811 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 2:
'''Wilaya ya Ludewa''' ni wilaya mojawapo ya [[Mkoa wa Njombe]].
 
Katika [[sensa]] ya mwaka [[2002]], idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 128,520 [http://web.archive.org/web/20031217233126/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ludewa.htm].
 
Ludewa iko upande wa kaskazini-mashariki ya [[Ziwa Nyassa]]. Makao makuu ni mji wa [[Ludewa]]. Wilaya imepakana na wilaya za [[wilaya ya Njombe|Njombe]] na [[wilaya ya Makete|Makete]], upande wa mashariki na [[mkoa wa Ruvuma]] na upande wa kusini na nchi ya [[Malawi]] ng'ambo ya ziwa.