Magindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d fixing dead links
Mstari 18:
 
}}
'''Magindu''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kibaha]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 8,579 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20031217230735/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm|archivedate=2003-12-17}}</ref>
 
Magindu imepakana na wilaya ya Morogoro vijijini kwa upande wa kusini na magharibi, kata ya kwala kwa upande wa mashariki na Mji wa chalinze kwa upande wa Kaskazini. Kijiji cha magindu kilitokana na neno la kikwele ng'indu lenye maana ya kima kwa kiswahili waliopatikana kipindi cha ujenzi wa reli ya kati toka dar kwenda kigoma iliyopitia kijiji hapo.