Simanjiro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1888312 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Simanjiro location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Simanjiro (kijani) katika [[mkoa wa Manyara]].]]
'''Wilaya ya Simajiro''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Manyara]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 141,676 <ref>[http://web.archive.org/web/20031228061117/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/simanjiro.htm Sensa ya 2002 kwa wilaya ya Simanjiro]</ref>.
 
Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, [[wilaya ya Kiteto]] upande wa kusini, [[mkoa wa Dodoma]] upande wa kusini-magharibi na [[wilaya ya Babati]] kwenye magharibi.