Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d fixing dead links
Mstari 17:
 
}}
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221. <ref>[http://web.archive.org/web/20030903065716/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm Tanzania sensa] </ref>
 
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.