Kilema Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
Kilema pia ni sehemu inayotukuzika kihistoria kwani mche wa kwanza wa kahawa Tanzania ulioteshwa Kilema. Chimbuko la jina la mlima Kilimanjaro pia lilianzia Kilema.Tulikuwa tukiuita mlima huo Kilema Kyaryo "yaani kilima cha kupanda" lakini wageni wakashindwa kutamka na kusema Kilimanjaro. Jina langu ni PETER ELIG LYIMO, mzaliwa wa kata ya KILEMA kusini na mtaa wa MULO. (Elimu yangu ni Bachelor degree of Humanities and Social Sciences in specification (BA.Ed), TUMAINI UNIVESITY-ARUSHA TANZANIA)
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Kata ya Kilema Kusini
|picha_ya_satelite =
|maelezo_ya_picha =
|pushpin_map =
|pushpin_map_caption = Mahali pa Kilema Kusini katika Tanzania
|settlement_type = Kata
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Moshi Vijijini|Moshi Vijijini]]
|wakazi_kwa_ujumla = 16313
|latd= |latm= |lats= |latNS=S
|longd= |longm= |longs= |longEW=E
|website =
 
}}
 
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Moshi Vijijini]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 16,313 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/moshirural.htm|title=Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040318024039/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/moshirural.htm|archivedate=2004-03-18}}</ref>
 
Askofu Mkuu wa Mwanza (tangu mwaka 2011) [[Juda Thadaeus Ruwa'ichi]] alizaliwa hapa mwaka 1954 katika kijiji cha Mulo.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya Moshi vijijini}}
 
{{mbegu-jio-kilimanjaro}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Kilimanjaro]]
[[Jamii:Wilaya ya Moshi Vijijini]]