Kilema Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.192.42 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rotlink
mchango wa mwandishi asiyejiandikisha
Mstari 22:
 
Askofu Mkuu wa Mwanza (tangu mwaka 2011) [[Juda Thadaeus Ruwa'ichi]] alizaliwa hapa mwaka 1954 katika kijiji cha Mulo.
 
Kilema pia ni sehemu inayotukuzika kihistoria kwani mche wa kwanza wa kahawa Tanzania ulioteshwa Kilema. Chimbuko la jina la mlima Kilimanjaro pia lilianzia Kilema.Tulikuwa tukiuita mlima huo Kilema Kyaryo "yaani kilima cha kupanda" lakini wageni wakashindwa kutamka na kusema Kilimanjaro.
 
==Marejeo==