Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
 
== Asili ==
Chimbuko la Ukristo ni kuwepo kwa mtu aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huko [[Mashariki ya Kati]], katika [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]] kilichopo hadi hivi leo kwenye mipaka ya [[Palestina]], naye; alikuwa akiitwa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] au mwana wa [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] mchonga samani; [[mama]] yake akifahamika kwa jina la [[Bikira Maria]].
 
Kwa kumuita pia [[Kristo]], wafuasi wake walikiri kwamba ndiye aliyetimiza [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa kale, kama unavyopatikana katika vitabu vya [[Biblia ya Kiebrania]] na [[Deuterokanoni]].
 
=== Masiya Yesu ===
Mstari 54:
Wewe ndiwe [[Mtume Petro|Petro]] na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu. Wala milango ya kuzimu haitalishinda.
</blockquote>
 
Yesu aliita wengine 11 pamoja na Petro kuunda kundi la [[Mitume wa Yesu|mitume wake]]. Idadi yao ilipangwa kwa kusudi la kudokeza kwamba ndiyo mwanzo mpya wa [[taifa la Mungu]], kama vile watoto 12 wa [[Yakobo Israeli]] walivyokuwa mwanzo wa [[taifa]] lake la kale.
 
Yesu aliwapa hao [[Thenashara]] [[mamlaka]] ile aliyopewa na [[Mungu Baba]] ili kuokoa watu.
 
''' '' Ujio wa [[Roho Mtakatifu]]'' '''
Line 72 ⟶ 76:
Kukutanika na kushiriki ma[[fumbo]] makuu, kushukuru na kusifu, pamoja na uwepo wa [[vipaji vya Roho Mtakatifu|vipaji]] na [[karama]] za Roho Mtakatifu, hufanya Kanisa liwe hai.
 
''' ''Uenezi wa Kanisa'' '''
[[MitumeUjumbe]] wa Yesu]] walieneaulienea haraka toka [[Yerusalemu]] hata [[Lida]], [[Yafa]], [[Kaisaria]], [[Samaria]], [[Damasko]] n.k. na kuanzisha jumuia nyingi.
 
Nazo jumuia kwa bidii za waamini wa mwanzo zikafika [[Foinike]], [[Kipro]], [[Antiokia]], ambako waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza, kutokana na waamini wa mataifa mengine kuwazidi wale wenye asili ya Kiyahudi (Mdo 11:1-23).
 
Imani na desturi za mikusanyiko hiyo zenye asili ya Kiyahudi zilitapakaa na hivyo kuanza kusuguana na mapokeo ya jamii mbalimbali zilipopenya. Hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi wa siku zile tayari walikuwa na imani zao walizokuwa wakizitunza.
 
Basi ukaja wakati ambao Wakristo wakaanza kukosoana kuhusu [[dhamiri]] zao na [[huduma]]. Ndiyo asili ya [[nyaraka]] mbalimbali ambazo zinaunda sehemu muhimu wa Agano Jipya.
Line 82 ⟶ 87:
=== Teolojia ya [[Nyaraka za Mtume Paulo]] ===
[[Picha:PaulT.jpg|thumb|right|[[Mtume Paulo]] akiandika waraka.]]
[[Mtume Paulo|Paulo]], maarufu kama mtume wa mataifa, aliandika hivi:
 
<blockquote>
Line 124 ⟶ 129:
== Mafarakano makuu kati ya Wakristo ==
[[Picha:BranchesofChristianity.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
Ukristo ulizidi kupokea watu wa kila aina, hivi kwamba waamini wenye asili ya Kiyahudi walizidi kuwa asilimia ndogo hasa kufikia mwisho wa [[karne ya 1]].
 
Ukristo ulienea hasa ndani ya mipaka ya [[Dola la Roma]] na kupokea yaliyo mema kutoka umataduni hasa wa Wagiriki (mashariki) na Walatini (magharibi), bila kukwamishwa na [[dhuluma]] za [[serikali]] zilizodumu kwa [[kwikwi]] miaka karibu 250 ([[64]]-[[313]]).
 
Hata nje ya dola hilo, Ukristo ulikabiliana na dhuluma, kama vile [[Mesopotamia]] na [[Uajemi]], ambapo ulidumisha zaidi sura asili ya [[Kisemiti]].
 
Tofauti hizo za utamaduni, pamoja na [[utaifa]], zilichangia sana ma[[farakano]].
 
Katika historia ndefu ya Ukristo, yalitokea mafarakano mengi, waamini wa Yesu wakizidi kutofautiana. Makundi makubwa zaidi ni: [[Kanisa Katoliki]], Makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]].
 
Line 132 ⟶ 145:
 
=== Waorthodoksi na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ===
Wakristo wengi walioishi upande wa mashariki wa [[Dola la Kirumi]] na [[ng'ambo]] ya mipaka yake ya mashariki walitengana na Wakatoliki hasa katika [[karne V]] na [[karne XI]].
 
Hata hivyo msimamo wao wa imani si tofauti sana, kwa kuwa wanachanga [[mapokeo]] ya awali ya [[Kanisa la Mitume]] na la [[Mababu]].