Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Elimu" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
d fixing dead links
Mstari 56:
Katika elimu na mafunzo, kujumuishwa kwa maarifa ya kiasili, tamaduni, maono, mitazamo na dhana katika mitaala, vifaa vya kuelekeza na vitabu vya kozi vina athari kubwa kama ile ya kujumuisha mbinu za asili katika elimu ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Ambayo hunufaisha walimu na wanafunzi katika usambamba wa masomo, kufaulu na matokeo ya masomo hayo. Walimu na wanafunzi wa kisasa wana heshima, hamasa na maridhio kwa jamii na watu wa kienyeji kutokana na elimu husishi wanayopata.<ref>[18] ^Tazama kwa ujumla R.A Malatest na wenzake . ''Best Practices katika Kuongeza Aboriginal Post-sekondari Enrollment Rates'' (Kanada: Baraza la Mawaziri wa Elimu, Kanada, 2002) [http://www.cmec.ca/postsec/malatest.en.pdf ] {{Dead link|date=Julai 2009}} na Dr Pamela Toulouse, ''Kusaidia Aboriginal Student Success: Self-Esteem na Identity, A Hai Mafundisho strategin'' (Presentation mikononi katika Utafiti wa Elimu Ontario 2007 Kongamano) [http://www.edu.gov.on.ca/eng/research/toulouse.pdf ]</ref>
 
Mfano mkuu unaoonyesha mbinu na maudhui ya asili yanaweza kukuza matokeo yaliyotajwa hapo juu undhihirika katika elimu ya juu nchini Kanada. Kwa sababu ya sheria fulani, dhamira ya kuongeza mafanikio kwa wanafunzi wa elimu asili na kukuza maadili ya jamii ya kitamanduni, kuingizwa kwa mbinu na maudhui ya asili katika elimu huonwa kuwa jukumu na wajibu wa serikali na taasisi za elimu zenye mamlaka.<ref>Katika mkoa wa Manitoba nchini Kanada kwa mfano, juhudi za pamoja kati ya serikali na taasisi za elimu (vyuo na vyuo vikuu) kumesababisha utekelezaji wa programu 13 za Access. Programu hizi hutilia maanani mbinu na maudhui ya kale katika upokezi wa elimu ya juu; na pia huwapa wanafunzi misaada mbalimbali ya tamaduni nyeti (kama vile wazee na washauri) ili kuzidisha mafanikio katika elimu ya juu. Watetezi wa programu hizi mara nyingi husisitiza kuwa kati ya miaka ya 2001/2002 na 2005/2006 (data iliyopatikana ya hivi karibuni) jumla ya wanafunzi 800 walihitimu kutoka kwa programu hizi na vyeti na asilimia 70.8 ya wanafunzi waliojiandikisha katika miaka hii walikuwa wa usuli wa asili. Takwimu hizi zimetolewa kutoka kur. 141-143 za ''Manitoba '' ''Council on Post-Secondary Education Statistical Compendium for the Academic Years Ending in 2006'' [http://web.archive.org/web/20080923190414/http://www.copse.mb.ca/en/documents/compendium2007/chapter_5.pdf ] halmashauri ya Manitoba kuhusu elimu ya juu. Kulingana na watetezi hawa, kuwekwa pamoja kwa mitindo asili ya elimu ndani ya programu hizo zinazolenga wanafunzi asili, ni kipengele muhimu kinachochangia kukamilika kwa elimu ya juu ya wanafunzi asili waliokisiwa kuwa 566 ambao hawangetarajiwa kuhitimu kiwango hiki cha mafanikio.</ref>
 
== Mchakato ==
Mstari 84:
Teknolojia inatumiwa sio tu katika wajibu wa kutawala katika elimu bali pia katika kuwaelekeza wanafunzi. Matumizi ya teknolojia kama vile virusha maandishi (power point) na ubao mweupe hutumiwa kunasa akili za wanafunzi darasani. Teknolojia vilevile hutumiwa kuwatahini wanafunzi. Mfano mzuri ni mfumo wa kuvutia hadhira (ARS),ambao huruhusu majibu ya mitihani moja kwa moja pamoja na majadiliano darasani.
 
Teknolojia za habari na mawasiliano (ICT) ni "seti ya vifaa na rasilimali mbalimbali zinazotumiwa kuwasiliana, kuunda, kueneza na kuongoza habari."<ref>{{cite web | last = Blurton | first = Craig|title = New Directions of ICT-Use in Education| url=http://www.unesco.org/education/educprog/lwf/dl/edict.pdf |accessdate = 2007-02-06|format=PDF}}</ref> Teknolojia hizi ni pamoja na kompyuta, mtandao, teknolojia za kusambaza habari (redio na televisheni) na simu. Kuna mvuto unaoongezeka kuhusu namna tarakilishi na mtandao zinavyoweza kuimarisha elimu katika viwango vyote, yaani mseto wa elimu rasmi na ile isiyo rasmi.<ref> [[b:ICT in Education|IKT katika Elimu]]</ref> Teknolojia za habari na mawasiliano za awali, kama vile redio na televisheni, zimetumiwa kwa zaidi ya miaka 40 kwa elimu wazi na ile ya mbali, hata hivyo kupiga chapa ndiyo njia nafuu zaidi, inapatikana kwa urahisi, na hivyo basi ni mbinu iliyotawala katika nchi zilizoendelea na zile zinazoendelea.<ref>{{cite web | last = Potashnik, M. and Capper, J. | title = Distance Education:Growth and Diversity | url=http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf| accessdate = 2007-02-06|format=PDF|archiveurl=http://web.archive.org/web/20000919132928/http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf|archivedate=2000-09-19}}</ref>
 
Matumizi ya tarakilishi na mtandao bado ni changa (ikiwa vinatumika) katika nchi zinazoendelea, na hii ni kwa sababu miundo msingi ni michache na ghali. Kwa kawaida teknolojia kadhaa hutumiwa kwa pamoja bali siyo mbinu moja pekee ya kupokelewa. Kwa mfano, Kothmel Community Radio Internet hutumia matangazo ya redio na kompyuta pamoja na teknolojia ya mtandao, na hivyo hurahisisha kugawa habari na kutoa nafasi za elimu katika kijiji fulani kule Sri Lanka.<ref>{{cite web | last = Taghioff | first = Daniel | title = Seeds of Consensus—The Potential Role for Information and Communication Technologies in Development. |url=http://www.btinternet.com/~daniel.taghioff/index.html |archiveurl=http://web.archive.org/web/20031012140402/http://www.btinternet.com/~daniel.taghioff/index.html |archivedate=2003-10-12 | accessdate = 2003-10-12}}</ref> Chuo kikuu cha Uingereza (UKOU) kilichoanzishwa mwaka wa 1969 kama taasisi ya elimu ya kwanza ulimwenguni kujitolea kutoa elimu ya wazi na ya mbali, bado hutegemea vifaa vilivyopigwa chapa na kuongezea redio, runinga na hivi majuzi programu zilizounganishwa na kompyuta.<ref> [http://www.open.ac.uk Open University wa Uingereza] Official website</ref> Vivyo hivyo, Chuo Kikuu cha Indira Gandhi nchini India huweka pamoja matumizi ya chapa, sauti zilizorekodiwa, video, redio, televisheni na teknolojia ya vielezo vya kusikiza mkutano.<ref> [http://www.ignou.ac.in Indira Gandhi Taifa Open University] Official website</ref>