Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wikipedia''' ni [[kamusi elezo]] huru ya [[lugha]] nyingi katika [[mtandao]]
Inatumia taratibu za [[wikiwiki]]. Ni bure kabisa, na inaweza kusomwa, kuandikwa, na kuhaririwa na [[mtu]] yeyote, popote pale. Yaani kila mtu anaweza kuchangia [[makala]] akiwa na [[uhuru]] wa kuboresha makala zilizopo kwa kuzihariri.
Kamusi hii inajengwa kwa utaratibu huria ambao umejengwa juu ya falsafa ya ushirikiano inayokuwa kwa kasi. Falsafa hii inaonekana katika vuguvugu la [[programu huria ya tarakilishi]], [[mikutano huria]], [[demokrasia huria]], n.k.▼
[[Kamusi]] hii inajengwa kwa utaratibu huria ambao umejengwa juu ya [[falsafa]] ya [[ushirikiano]] inayokuwa kwa kasi.
Wikipedia inaweza kusomewa pia nje ya mtandaoni kwa kutumia programu huria ya [[Kiwix]].▼
▲
▲Wikipedia inaweza
== Historia ==
Wikipedia ilianzishwa kwa [[Kiingereza]] mwezi wa kwanza mwaka [[2001]].
Mwaka [[2003]] kamusi elezo hii ilianzishwa katika lugha ya [[Kiswahili]]. {{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Wikimedia]]
[[Jamii:Kamusi elezo]]
{{Link FA|ceb}}
|