Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d rekebisha viungo vibaya (dead links)
Nilirekebisha kosa la ngeli.
Mstari 1:
[[Picha:Ford.mondeo.mk3-black.front-by.ranger.jpg|thumb|'''Ford Mondeo''' ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache kwa mfano familia ndogo]]
[[Picha:WA SES Toyota Landcruiser.jpg|thumb||Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi kala kubeba watu penye njia mbaya]]
'''Motokaa''' (kutoka [[Kiingereza]] "motor car"<ref>maneno yale yana asili katika lugha ya Kilatini; "car" kutoka Kilat. ''carrus'' = gari na "motor" kutoka Kilat. ''movere'' = sogeza, hamisha yaani "mhamishaji, msukumaji"</ref>, mara nyingi huitwa tu '''gari''') ni chombo cha [[usafiri]] kinachotembea kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya injini au mota yake.