Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nilirekebisha kosa la ngeli.
→‎Mielekeo mipya: Rekebisha tahajia
Mstari 64:
* injini ya umeme
 
Kwa jumla magari ya umeme bado hutegemea mbinu za kubeba nishati njiani kwa beteri. Siku hizi ni hasa injini za umeme zinazopokea jitihada nyingi. Tatizo hadi leo ni uzito, uwezo na gharama za beteri. Hata kama zimeshoborekazimesheboreka sana bado chaji ya beteri inaruhusu safari ya kilomita 50-100 tu. Kuchajiwa upya kunachukua masaa. Kuna mawazo ya kuunda mfumo wa vituo vya beteri ambako beteri zingebadilishwa sawa na vituo vya mafuta vya leo.
 
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
* Daimler-Benz na makampuni meninemengine yametengeneza magari yenye teknolojia mpya ya seli ya fueli inayotumia [[haidrojeni]][http://thomasnaef.info/convertible-car-seats/ .] Lakini hadi sasa nguvu yake haitoshi kwa magari ya kawaida. Utafiti unaendelea.
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteri.