Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mielekeo mipya: Rekebisha tahajia
→‎Mielekeo mipya: Rekebisha tahajia
Mstari 64:
* injini ya umeme
 
Kwa jumla magari ya umeme bado hutegemea mbinu za kubeba nishati njiani kwa beteri. Siku hizi ni hasa injini za umeme zinazopokea jitihada nyingi. Tatizo hadi leo ni uzito, uwezo na gharama za beteri. Hata kama zimesheborekazimeshaboreka sana bado chaji ya beteri inaruhusu safari ya kilomita 50-100 tu. Kuchajiwa upya kunachukua masaa. Kuna mawazo ya kuunda mfumo wa vituo vya beteri ambako beteri zingebadilishwa sawa na vituo vya mafuta vya leo.
 
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa: