Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Nimebadili nomini na utunzi wa lugha kwa ufasaha zaidi inayoipa ukurasa huu dhana ya taaluma ya Falaki.
Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|303x303px|MwanafalakiMfalki Piers Sellers nje ya chombo chafasikebu [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''MwanafalakiMfalki au MwanaangaMwanafasi ''' ni mtu anayerushwa katikaanayezuri [[anga la nje|fasi]] lililo nje ya [[angahewa|anga]] ya [[dunia]] amakusafiria ombwa(space)fasikebu ambalo hurushwa angani kwa kusafiriakutumia [[rocket|fataki]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".
 
MwanafalakiMfalki wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwaalipaa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani|fasikebu]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.
 
Alifuatwa [[5 Mei]] 1961 na [[Alan Shepard]] kutoka [[Marekani]] aliyetumia chombo cha anganifasikebu cha [[Mercury (chombo cha angani)|Mercury]] .
 
Mwanamke wa kwanza ombwanikwenye fasi alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka 1963.
 
WanafalakiWafalki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
 
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwa(anga la nje) linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani|Shirikisho la Kimataifa kwala Usafiri wa Fasi ]]Ombwa (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
 
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye ombwaFasi.
 
MwanafalakiMfalki aliyekaa muda mrefu anganifasini alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefikaaliyezuru ombwanifasi mara sita, akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga la nje.
 
== Picha za wanafalakiwafalki tajika ==
 
<gallery caption="" widths="100px" heights="100px" perrow="6">
Image:Gagarin space suite.jpg|[[Yuri Gagarin]] - mtuMtu wa kwanza anganikwenye fasi
Image:Alan_Shepard_-_GPN-2000-001005.jpg|[[Alan Shepard]] - mtuMtu wa pili anganiFasini
Image:Soviet Union-1963-Stamp-0.10. Valentina Tereshkova-2.jpg|[[Valentina Tereshkova]] alikuwa mwanamke wa kwanza anganiFasini
Image:Aldrin Apollo 11.jpg|[[Buzz Aldrin]] mwezini - [[Neil Armstrong]] aliyechukua picha hii anaonekana kwenye dirisha la kofia ya Aldrin
Image:Sergei_Konstantinovich_Krikalev.jpg|[[Sergei Krikalyov]]
Image:Shuttleworth big NASA.jpg|[[Mark Shuttleworth]] kutoka [[Afrika Kusini]] alikuwa Mwafrikamwafrika wa kwanza anganikuizuru Fasi
</gallery>