Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Wafalki wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar. [[20 Julai]] [[1969]].
 
Hadi machi 2008 jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha kilomita 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako ombwafasi(anga la njespace) linaanzainaanzia kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani|Shirikisho la Kimataifa la Usafiri wa Fasi ]](Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
 
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye Fasi.
 
Mfalki aliyekaa muda mrefu fasini alkuwaalikuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyezuru fasi mara sita, akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39.
 
== Picha za wafalki tajika ==