Malaria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 107 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12156 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 62:
 
 
Malaria katika binadamu hupevuka katika awamu mbili: awamu ya eksoirithasitika na erithrasiti. Awamu ya eksoirithasitika inahusisha maambukizi ya mfumo wa ini, huku awamu ya erithrasiti inahusisha maambukizo ya seli nyekundu za damu. Mbu aliyeambukizwa anapodunga ngozi ya binadamu kufyonza mlo wa damu, [[spora]] katika mate ya mbu huingia katika mfumo wa damu ya binadamu na kuhamia katika [[ini.]] Katika muda wa dakika 30 ya kuwa mwilini mwa binadamu, spora huambukiza [[seli za ini]], kujizidisha kwa uzazi nafsi na bila kusababisha dalili za ugonjwa kwa muda wa kati ya siku 6 na 15. Mara zinapoingia katika ini viumbe hivyo huzaana kwa maelfu ya [[merozoiti]], ambazo, baada ya kupasuka kwa seli ya kimelewa wao, hujipenyeza ndani ya damu na kuambukiza [[chembechembe nyekundu za damu]], na hivyo [[kuanza]] awamu ya erithrasiti katika mzunguko wa maisha. <ref> [http://web.archive.org/web/20090318200741/http://www.sma.org/pdfs/objecttypes/smj/91C48D32-BCD4-FF25-565C69314AF7EB48/1196.pdf Bledsoe, GH (][http://web.archive.org/web/20090318200741/http://www.sma.org/pdfs/objecttypes/smj/91C48D32-BCD4-FF25-565C69314AF7EB48/1196.pdf Desemba 2005) "Malaria primer for clinicians in the United States" ''Southern Medical Journal'' 98 (12): uk. 1197-204, (PMID: 16440920);]</ref> Vimelea hutoka katika ini bila kutambulika kwa kujizungusha kwenye kiwambo cha seli ya ini ya kimelewa aliyeambukizwa. <ref name="sturm2006">{{cite journal | author=Sturm A,
Amino R, van de Sand C, Regen T, Retzlaff S, Rennenberg A, Krueger A, Pollok JM, Menard R, Heussler VT | title=Manipulation of host hepatocytes by the malaria parasite for delivery into liver sinusoids | journal=Science | year=2006 | volume=313 | pages=1287–1490 | pmid=16888102 | doi = 10.1126/science.1129720 | issue=5791
}}</ref>