Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mielekeo mipya: Rekebisha tahajia
d →‎Injini za umeme: Nilirekebisha tahajia.
Mstari 30:
 
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi herufu baya ya eksozi. Lakini magari haya yalikuwa na tatizo ya kwamba yalitegemea kupata nichatinishati kwa njia ya beteri nzito zilizochukua muda mrefu kuchajiwa. Hata hivyo hadi mwanzo wa karne ya 20 magari ya umeme yalikuwa mengi katika miji mikubwa.
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita ]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.