Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Injini za umeme: Nilirekebisha tahajia.
→‎Injini za umeme: tahajia tena na nyongeza kidogo
Mstari 30:
 
=== Injini za umeme ===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona pia magari yaliyoendeshwa kwa nguvu ya umeme. Magari haya yana faida nyingi; muundo wa gari ni rahisi zaidi kwa sababu haihitaji giaboksi wala gia na gari halina makelele pia hautoi herufuharufu baya ya eksozi. Lakini magari haya yalikuwa na tatizo ya kwamba yalitegemea kupata nichatinishati kwa njia ya beteri nzito zilizochukua muda mrefu kuchajiwa. Hata hivyo hadi mwanzo wa karne ya 20 magari ya umeme yalikuwa mengi katika miji mikubwa.
[[Picha:Sfrancisco trolley.jpg|thumb||Basi ya umeme mjini [[San Francisco]] inapokea nishati kupitia waya juu ya barabara inapopita ]]
Mwaka 1900 asilimia 40 za motokaa zote nchini Marekani zilikuwa na injini za mvuke, 38 % za umeme na 22% za petroli. Mjini [[New York (jimbo)|New York]] nusu ya motokaa zote zilikuwa na injini ya umeme.
 
Baadaye magari ya petroli yalisogea mbele kwa sababu yaliweza kutembea mbali kwa kujaza mafuta kuliko garimagari laya umeme kwa beteri yakezao. tenaPia beteri ilichukuazilichukua masaa mengi hadi kujazwa upya wakati mafuta hujazwa mara moja.
 
Katika nchi kadhaa mabasi ya umeme yameendelea kutumiwa katika miji mikubwa yakipokea nishati si kwa beteri bali kwa nyaya za umeme zinazopangwa juu ya barabara ambako basi inapita.
 
Katika karne ya 21 teknolojia ya beteri ilisogea mbele kutokana na upanuzi wa matumzi ya simu za mkononi. Beteri ziliendelea kuwa ndogo zaidi na pia kushika umeme kwa muda mrefu zaidi. Maendeleo haya yametumiwa kwa kubuni motokaa mpya za umeme. (tazama chini)
 
=== Injini za mwako ndani (petroli na diseli) ===