Papa Alexander VI : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q108316 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa AlexanderAleksanda VI.]]
 
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]] [[1431]] – [[18 Agosti]] [[1503]]) alikuwa [[papa]] kuanzia tarehe [[11 Agosti]] [[1492]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Innocent VIIIkifo]] akafuatwachake. na [[Papa Pius III]].
 
Alimfuata [[Papa Innocent VIII]] akafuatwa na [[Papa Pius III]].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Borgia'''. Alikuwa papa wa pili kutoka familia ya Borgia. [[Callixtus III]] aliyekuwa Borgia wa kwanza alimsaidia mpwa wake Roderic kupanda ngazi ndani ya kanisa. Kijana asiyekuwa na mafunzo wowote wa kiroho asiyepokea ubarikio wa upadre bado alipewa cheo na mapato ya askofu mara kadhaa katika dayosisi mbalimbali. 1456 alipewa cheo cha kardinali na 1458 akapadrishwa.
 
==Maisha==
Alizaa watoto na mke wake wa kando Vannozza dei Cattani akaendelea kuwaangalia na kuwatunza hata alipokuwa papa. Arusi ya binti yake Lucrecia Borgia ilisheherekewa rasmi katika jumba la kipapa la [[Vatikano]].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Borgia'''. Alikuwa papa wa pili kutoka familia ya Borgia. [[CallixtusPapa Kalisti III]], aliyekuwa Borgia wa kwanza, alimsaidia mpwamtoto wakewa ndugu yake Roderic kupanda [[ngazi]] ndani ya kanisa[[Kanisa]]. [[Kijana]] asiyekuwa na mafunzo wowoteyoyote wa kiroho, asiyepokea ubarikio[[daraja watakatifu]] upadreya [[upadri]] bado, alipewa [[cheo]] na mapato ya [[askofu]] mara kadhaa katika [[dayosisi]] mbalimbali. 1456 alipewa cheo cha kardinali na 1458 akapadrishwa.
 
Mwaka [[1456]] alipewa cheo cha [[kardinali]] na mwaka [[1458]] [[upadrisho|akapadrishwa]].
Lakini kabla hajachaguliwa kuwa papa alimwacha Vannozza akaanza uhusiano na binti Giulia Farnese aliyezaa binti naye mwaka 1492 alipokuwa papa.
 
AlizaaAlizaliana watoto na [[mke]] wake wa kando Vannozza dei Cattani akaendelea kuwaangalia na kuwatunza hata alipokuwa papa. [[Arusi]] ya [[binti]] yake Lucrecia[[Lucrezia Borgia]] ilisheherekewa rasmi katika [[jumba]] la kipapaKipapa la [[Vatikano]].
Mwanawe Caesare alipewa cheo cha askofu alipokuwa na umri wa miaka 16 na kardinali alipofikia miaka 18. Baadaye aliacha maisha ya kanisa akafanywa na babaye jemadari wa jeshi la papa.
 
Lakini kabla hajachaguliwa kuwa papa alimwacha Vannozza akaanza uhusiano na binti Giulia Farnese aliyezaa binti naye binti mwaka [[1492]], alipokuwa papa tayari.
Alexander VI amejulikana pia kwa azimio lake la kugawa dunia kati ya [[Hispania]] na [[Ureno]] katika [[mkataba wa Tordesillas]] mwaka [[1494]]. Mkataba huu ulikuwa msingi wa koloni ya Kireno cha Brazil na utawala wa Hispania juu ya nchi nyengine za [[Amerika Kusini]].
 
Mwanawe Caesare[[Cesare Borgia]] alipewa cheo cha askofu alipokuwa na umri wa miaka 16 na cha kardinali alipofikia miaka 18. Baadaye aliacha maisha ya kanisaKanisa akafanywa na babayebaba yake [[jemadari]] wa [[jeshi]] la papaPapa.
Wapinzani walimwona kama mfano mbaya wa uharibifu wa Upapa wakati wake.
 
AlexanderAleksanda VI amejulikana pia kwa azimio[[uamuzi]] lakewake lawa kugawa [[dunia]] kati ya [[Hispania]] na [[Ureno]] katika [[mkataba wa Tordesillas]] mwaka [[1494]]. Mkataba huu ulikuwa msingi wa [[koloni]] yala Kireno chala [[Brazil]] na [[utawala]] wa Hispania juu ya nchi nyenginenyingine za [[Amerika Kusini]] na [[Amerika ya Kati]].
== Viungo vya nje ==
[http://www.newadvent.org/cathen/01289a.htm Papa Alexander VI katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
Wapinzani walimwona kama mfano mbaya wa uharibifuupotovu wa [[Upapa]] wakati wake.
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/01289a.htm Papa Alexander VI katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{DEFAULTSORT:Alexander VI}}