Papa Alexander VI : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa Aleksanda VI akisali alivyochorwa na [[Pinturicchio]].]]
 
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]] [[1431]] – [[18 Agosti]] [[1503]]) alikuwa [[papa]] kuanzia tarehe [[11 Agosti]] [[1492]] hadi [[kifo]] chake.
Mstari 6:
 
==Maisha==
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Borgia'''. Alikuwa papa wa pili kutoka familia ya Borgia. [[Papa Kalisti III]], aliyekuwa wa kwanza, alimsaidia mtoto[[mpwa]] wa ndugu yakewake Roderic kupanda [[ngazi]] ndani ya [[Kanisa]]. [[Kijana]] asiyekuwa na mafunzo yoyote wa kiroho, asiyepokea [[daraja takatifu]] ya [[upadri]] bado, alipewa [[cheo]] na mapato ya [[askofu]] mara kadhaa katika [[dayosisi]] mbalimbali.
 
Mwaka [[1456]] alipewa cheo cha [[kardinali]] na mwaka [[1458]] [[upadrisho|akapadrishwa]].
Mstari 18:
Aleksanda VI amejulikana pia kwa [[uamuzi]] wake wa kugawa [[dunia]] kati ya [[Hispania]] na [[Ureno]] katika [[mkataba wa Tordesillas]] mwaka [[1494]]. Mkataba huu ulikuwa msingi wa [[koloni]] la Kireno la [[Brazil]] na [[utawala]] wa Hispania juu ya nchi nyingine za [[Amerika Kusini]] na [[Amerika ya Kati]].
 
Sifa yake nyingine ilikuwa kuhamasisha [[sanaa]] za kila aina, kama ilivyokuwa kawaida kwa Mapapa wa [[Renaissance]].
Wapinzani walimwona kama mfano mbaya wa upotovu wa [[Upapa]] wakati wake.
 
Vilevile alianza urekebisho wa [[ofisi za Papa]].
 
Wapinzani walimwona kama mfano mbaya wa upotovu wa [[Upapa]] wakati wake, wakamsema hata kuliko ukweli wa makosa ambayo aliyafanya na aliyatubu kabla hajafa.
 
==Marejeo==
* John Burchard, ''Diaries 1483–1492'' (translation: A.H. Matthew, London, 1910)
* [http://www2.fiu.edu/~mirandas/election-alexandervi.htm Burkle-Young, Francis A., "The election of Pope Alexander VI (1492)", in Miranda, Salvador. ''Cardinals of the Holy Roman Church'']
* [[Eamon Duffy]], ''Saints & Sinners: A History of the Popes'' (Yale Nota Bene, 2002)
* Peter de Rossa, ''Vicars of Christ: The Dark Side of the Papacy'' (Corgi, 1989)
* Encyclopædia Britannica, 11th edition.
* [http://sites.google.com/site/diarioborjaborgia/Home DIARIO BORJA BORGIA (Spanish)]
* "''That the world may believe: the development of Papal social thought on aboriginal rights''", Michael Stogre S.J, Médiaspaul, 1992, ISBN 978-2-89039-549-7
* "''The Historical Encyclopedia of World slavery"'', Editor Junius P. Rodriguez, ABC-CLIO, 1997, ISBN 978-0-87436-885-7
* ''"Black Africans in Renaissance Europe''", Thomas Foster Earle, K. J. P. Lowe, Cambridge University Press, 2005, ISBN 978-0-521-81582-6
* "''A violent evangelism"'', Luis N. Rivera, Luis Rivera Pagán, Westminster John Knox Press, 1992, ISBN 978-0-664-25367-7
* "''Indigenous peoples and human rights''", Patrick Thornberry, Manchester University Press, 2002, ISBN 978-0-7190-3794-8
* [[John Julius Norwich]], ''Absolute Monarchs: A History of the Papacy'', Random House, 2011, ISBN 978-1-4000-6715-2
 
== Viungo vya nje ==
{{commons category|Alexander VI}}
*[http://www.newadvent.org/cathen/01289a.htm Papa Alexander VI katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
* [http://sites.google.com/site/diarioborjaborgia/Home Diario Borja - Borgia] {{es icon}}
* [http://www.stephenrbown.net/1494-1.htm/ 1494: How a Family Feud in Medieval Spain Divided the world in Half]
* [http://www.euskalnet.net/laviana/gen_hispanas/borja_borgia.htm Borja o Borgia] {{es icon}}
* [http://www.oliver-rost.homepage.t-online.de/HistoriaGenealogica.txt Francisco Fernández de Bethencourt - Historia Genealógica y Heráldica Española, Casa Real y Grandes de España, tomo cuarto] {{es icon}}
* [http://www.ramhg.es/index.php/boletin/boletin Una rama subsistente del linaje Borja en América española, por Jaime de Salazar y Acha, Académico de Número de la Real Academia Matritense de Heráldica y Genealogía] {{es icon}}
* http://libros.webuda.com/boletin-RAMHG-75.pdf BOLETÍN DE LA REAL ACADEMIA MATRITENSE DE HERÁLDICA Y GENEALOGÍA {{es icon}}
* [http://archive.org/details/jstor-25006264 Thirty-Two Years with Alexander VI], ''The Catholic Historical Review'', Volume 8, no. 1, April, 1922, pp. 55–58.[http://www.jstor.org/stable/25006264] [http://books.google.com/books?ei=g8ZfUdf1BYPs8gSFuoDIBA&id=qMaOfNRCq2sC&dq=%22Thirty-Two+Years+with+Alexander+VI%22&q=%22In+a+note+on+Alexander+VI+appended+to+my+translation%22#search_anchor]
 
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{DEFAULTSORT:AlexanderAleksanda VI}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1431]]