Papa Pius V : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131945 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:El Greco 050.jpg|thumb|right|PapaMt. Pius V]]
 
'''Papa Pius V, [[O.P.]]''' ([[17 Januari]] [[1504]] – [[1 Mei]] [[1572]]) alikuwa [[papa]] kuanzia tarehe [[7 Januari]] [[1566]] hadi [[kifo]] chake.

Alimfuata [[Papa Pius IV]] akafuatwa na [[Papa Gregori XIII]].
 
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Antonio Ghislieri'''.
 
Baadaye alijiunga na [[shirika la Wahubiri]].
 
Ndiye alishughulikia utekelezaji wa [[Mtaguso wa Trento]] kwa ajili ya [[urekebisho wa Kikatoliki]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[30 Aprili]].
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/12130a.htm Papa Pius V katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
 
{{DEFAULTSORT:Pius V}}