Papa Gregori XIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83029 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Gregory XIII.jpg|350px250px|thumb|Papa GregoriusGregori XIII.]]
 
'''Papa Gregori XIII''' (*[[7 Januari]] [[1502]] mjini [[Bologna]]/, [[Italia]]; †[[10 Aprili]] [[1585]] mjini [[Roma]]) alikuwa [[papa]] wa [[kanisaKanisa katolikiKatoliki]] kuanzia tarehe [[13 Mei]] [[1572]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Pius Vkifo]] akafuatwachake. na [[Papa Sixtus V]]
 
Alimfuata [[Papa Pius V]] akafuatwa na [[Papa Sixtus V]].
Anakumbukwa hasa kwa matengenezo ya kalenda iliyojulikana kama "[[kalenda ya Gregori]]" ikawa kalenda ya kimataifa kote duniani.
 
Anakumbukwa hasa kwa matengenezo ya [[kalenda]] iliyojulikana kama "[[kalenda ya Gregori]]" ikawa kalenda ya kimataifa kote duniani hadi leo.
Alizaliwa kwa jina la '''Ugo Buoncampagni''' akafuata masomo ya sheria na kuwa profesa wa sheria kwenye chuo kikuu cha Bologna.
 
==Maisha==
Mwaka 1539 aliitwa na [[Papa Paulo III]] akapewa kazi mbalimbali kama mwanasheria wa kanisa. Baadaye [[Papa Paulo IV]] alimpa cheo cha [[askofu]] wa Viesti (Italia) na ni sasa tu ya kwamba Ugo alikula kiapo cha upadre na kuwekwa wakfu kama askofu moja kwa moja.
Alizaliwa kwa jina la '''Ugo Buoncampagni''' akafuata masomo ya [[sheria]] na kuwa [[profesa]] wa sheria kwenye [[chuo kikuu]] cha Bologna.
 
Mwaka [[1539]] aliitwa na [[Papa Paulo III]] akapewa kazi mbalimbali kama [[mwanasheria]] wa Kanisa.
Baada ya kifo cha [[Papa Pius V]] alichaguliwa kuwa mfuasi wake akachukua jina la "Gregorius". Papa Gregori XIII alijitahidi kurudisha nyuma mwendo wa matengenezo ya kiprotestant. Alikubali kudhulumiwa kwa Wainjili nchini Ufaransa tar. 23 -24 Agosti [[1572]] ("[[Usiku wa Bartolomeo]]"). Alijaribu kukusanya mataifa ya Ulaya dhidi ya Dola la Uturuki kwa shabaha ya kukomboa mji wa [[Konstantinopoli]] lakini hakufaulu.
 
Mwaka 1539 aliitwa naBaadaye [[Papa Paulo IIIIV]] akapewa kazi mbalimbali kama mwanasheria wa kanisa. Baadayealimpa [[Papa Paulo IVcheo]] alimpa cheo cha [[askofu]] wa [[Viesti]] (Italia) na ni sasahapo tu ya kwamba Ugo alikula [[kiapo]] cha upadre[[upadri]] na kuwekwa [[wakfu]] kama askofu moja kwa moja.
Pamoja na jitihada hizi za kisiasa alijenga taasisi ya taaluma. Aliunda Chuo Kikuu cha Mapapa huko Roma kinachoitwa kwa heshima yake "Gregoriana" hadi leo.
 
Baada ya kifo cha [[Papa Pius V]] alichaguliwa kuwa [[mwandamizi]] wake, akachukua jina la "Gregorius".
Kalenda mpya hakutunga lakini aliita wataalamu katika kamati maalumu na kukubali mapendekezo yake tar. [[24 Februari]] [[1582]].
 
Papa Gregori XIII alijitahidi kurudisha nyuma mwendo wa [[matengenezo ya Kiprotestanti]]. Alikubali [[dhuluma]] dhidi ya Wakristo wa Kiinjili nchini [[Ufaransa]] tarehe 23 - [[24 Agost]]i [[1572]] ("[[Usiku wa Bartolomeo]]").
== Viungo vya nje ==
[http://www.newadvent.org/cathen/07001b.htm Papa Gregori XIII katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
Alijaribu kukusanya ma[[taifa]] ya [[Ulaya]] dhidi ya [[Dola la Uturuki]] kwa [[shabaha]] ya kukomboa [[mji]] wa [[Konstantinopoli]] lakini hakufaulu.
 
Pamoja na jitihada hizi za kisiasaki[[siasa]] alijenga [[taasisi]] ya [[taaluma]]. Aliunda [[Chuo Kikuu cha MapapaKipapa]] huko Roma kinachoitwa kwa heshima yake "[[Gregoriana]]" hadi leo.
 
Kalenda mpya hakutungahakuitunga mwenyewe, lakini aliita wataalamu katika [[kamati]] maalumu na kukubali mapendekezo yakewaliyotoa tar.tarehe [[24 Februari]] [[1582]].
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/07001b.htm Papa Gregori XIII katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
{{Mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{DEFAULTSORT:Gregori XIII}}