Mapendo ya kiuchumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q376596 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Mapendo ya kiuchumba''' ni aina mojawapo ya mapendo kati ya ma[[binadamupendo]]. Katika maana halisi aina hiyo ni ya maandalizi kwa ajilikati ya [[ndoabinadamu]].
 
Katika maana yake halisi, aina hiyo ni ya [[maandalizi]] kwa ajili ya [[ndoa]].
Hapo zamani mara nyingine hapakuwepo na [[mapenzi]] ya kiuchumba kwani [[mvulana]] na [[msichana]] walifikia kuoana bila ya kuwepo kwanza [[uchumba]].
 
Hapo zamani mara nyingine hapakuwepohakuwepo na [[mapenzi]] ya kiuchumbakwanza, kwani [[mvulana]] na [[msichana]] walifikia kuoana bila ya kuwepo kwanza [[uchumba]].
Lakini kwa sasa, kutokana na [[maendeleo]] na [[akili]] kupanuka zaidi, kwa kawaida hakuna anayeoa au anayekubali kuolewa bila ya kumfahamu mchumba wake kwanza.
 
Lakini kwa sasa, kutokana na [[maendeleo]] na [[akili]] kupanuka zaidi, kwa kawaida hakuna anayeoa au anayekubali kuolewa bila ya kumfahamu [[mchumba]] wake kwanza.
Ule muda wa kuzoeana, ndio wa mapendo ya kiuchumba, kwani haitoshi tu kumtamkia mpenzi wako kwamba ungependa awe mama watoto wako bila ya kuzijua [[silika]], [[tabia]], [[hisia]] zake na kadhalika.
 
Ule [[muda]] wa kuzoeana, ndio wa mapendo ya kiuchumba, kwani haitoshi, tuk.mf. kumtamkia tu [[mpenzi]] wako kwamba ungependa awe [[mama]] watoto wako bila ya kuzijua [[silika]], [[tabia]], [[hisia]] zake na kadhalika. Ni vilevile upande wa pili.
Muda wa kuchumbiana ndio muda ambao wote wawili watakiwa kuwa makini sana kila mmoja kumsoma mwenzie na kujirekebisha ili kuwezesha ndoa kudumu hata itakapojaribiwa na maisha.
 
Muda wa kuchumbiana ndio muda ambao wote wawili watakiwawanatakiwa kuwa makini sana, kila mmoja kumsomaamsome mwenzie na kujirekebisha ili kuwezesha ndoa kudumu hata itakapojaribiwa na [[maisha]].
 
Bahati mbaya, mara nyingi vijana hawapati [[malezi]] au msaada wowote wa kufaa upande huo. Sehemu nyingi wanaelekezwa tu namna ya kupunguza [[hatari]] ya kuambukizwa [[maradhi ya zinaa]] au kupata [[mimba]] isiyotarajiwa, kama kwamba [[ngono]] inawafaa katika hatua hiyo au haiepukiki kabisa.
 
[[Jamii:Jamii]]
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Jinsia]]